Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

methodinho chief bora kubet kuliko forex...na hvyo vyote usitegemee hata kimoja...utapapaswa hutoamini
Mkuuu daah betting nilifanyaga sana lkn ni mchezo wa bahati, japo kuna team huwa zinauza mechi, , , , lakini forex mkuu sio kama kubeti, forex ni inahitajika elimu ya kutosha mkuu, na ukijua bhas umetoboa, angali south africa mkuu,
 
Kuna Wana wawili hapa,wameshare nondo za kutosha kuhusu interview za uhamiaje na Polisi bigup
Mda natamani angalau mmoja aliefanya interview ya mwaka Jana uhamiaji atupe update kuwa na wenyewe waliletewa mtihan wa uptude test au VIP itakuwa poa Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…