Mianzin Arusha
Senior Member
- Mar 25, 2020
- 132
- 139
Hv na waliomba mara mbili ametumia cha form 4 then akatumia cha degree inakuaje?Polisi kwa waliomba kwa level ya form 4 watavimba Sana mnachukuliwa wengi kama kumbikumbi
Kama ulitumia cheti cha form 6 kuomba pt imekula kwako