BlackHermito
JF-Expert Member
- Oct 15, 2020
- 748
- 1,131
Wapo wengi tu waliopewa ujumbe wa kuattach vitu ambavyo walikuw hawajakamilisha.I meant cheti cha degree
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo wengi tu waliopewa ujumbe wa kuattach vitu ambavyo walikuw hawajakamilisha.I meant cheti cha degree
Wapo wengi tu waliopewa ujumbe wa kuattach vitu ambavyo walikuw hawajakamilisha.
HahahaHiz lonja ni za kutishana.. jumatatu nimemuona mtu kabisa kapgiwa simu kutoka makao makuu kwamba amesahau kuambatanisha transcript so aitume.. nikajiuliza kwamba jamaa ni potential sanaa au watu ni wachache kiasi hicho walioapply[emoji23]
Mwamba alikula Hilo tengo kazi yake kupita na kuonja sosi linaendajeKitengo jiko au sio...upite mzee ukachukue tengo huko
Wewe si umeongelea PT mzee? Maana UT ilikuw njia ya posta. PT ndio ulikuw unaweza kuambiwa utume kama vitu vyako havijakamika.Hii ni kwa uhamiaji au polisi kwa ujumla na ni kawaida!? Maana nikasema labda jamaa ndio choosen one
Ndo plan. Mungu akinipanga kwenye pdf ya kwanza.... Hakika ntawaeleza nilivyonavyo.. nisiachwe tuKitengo jiko au sio...upite mzee ukachukue tengo huko
Nmeelewa sasa japo yy alitumiwa ujumbe whatsapp halaf wakampgia.. nikasema namna gani hii.. kama umekosea unakumbushwa.. me nikajua unapigwa machini mazimaHua wanataarifu nakumbuka hata mm wakati naaply kiambatisho B niliunganisha na documents zingine wakanitumia message kwa email wakaniambia nikitenganishe inshort there not complicat
Yes ni PT mzee.. nikawa na maswali meng sana..Wewe si umeongelea PT mzee? Maana UT ilikuw njia ya posta. PT ndio ulikuw unaweza kuambiwa utume kama vitu vyako havijakamika.
Muombe Mungu upate kazi. Hilo ndio la msingi.Yes ni PT mzee.. nikawa na maswali meng sana..
AMINA KUBWA MKUUMuombe Mungu upate kazi. Hilo ndio la msingi.
Kabisa mkuu!! Me nasemaga Mungu atupe iliyo haki yetu!!Yote mazuri tumuachie mungu hamtupi mja wako kma wakat ukifika
Kweli aise, afu kuna wengine mungu kaamuaga wasipate kabisa, yaan hata ahustle vipi, anapata kidogo hakimtishi(ufukara).Me nimejifunzaga Sana toka mwaka jana/juzi.maisha yana Siri kubwa Sana me nimeshuhudia watu waliokuwa wanaishi bad Life sahivi wanapesa na still ni vijana Bado