Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Yaaani hata kwenye familia kuna muda unadharaulika, unaonekana hauna msaada wala mchango wowote kwa familia, linapotokea swala la michangi ww hauna tu kila siku, hii yote ni kutokana na kutokuwa na kazi,wakuu sio poa kitaa pamoto miaka inazidi kukatika, kama kuna uwezekano wa kusaidiana tusaidiane asee
 
Maisha ni magumu ila pia usinung'unike. Kuwa positive, piga goti,Sali, mtumaini Mungu hakika atafungua milango in manner u have never imagined before. Always be positive.
 
Nawashauri hata kama mupo huko mtipidi tengezeni maisha yenu,tafuteni kweli kweli pesa ukiwa na pesa haya Mambo wala hutaona ya maana heshima pesa wakuu. Sifa ilikuwa zamani maisha yamechange sana.
 
Wakuu naomba kuuliza, hivi mfano. Una degree ya kitu flani. Alafu hapo hapo una fani nyingine kwa level ya certificate. Ikitokea umeitwa kwenye usahili unaweza kushawiahi wakuchukue kupitia hiyo fani kama degree itakua na ushindani?
Certificate ya kitu Gani mkuu, kama hiyo certificate Yako iliorodheshwa nakushauri beba hiko cheti chako cha certificate pamoja vingine vyote hata ulivyoombea ukifika kule kitaeleweka tu ya mungu mengi ✍️
 
Wakuu naomba kuuliza, hivi mfano. Una degree ya kitu flani. Alafu hapo hapo una fani nyingine kwa level ya certificate. Ikitokea umeitwa kwenye usahili unaweza kushawiahi wakuchukue kupitia hiyo fani kama degree itakua na ushindani?
Swali dogo tu we uliombea kwa cheti kipi??? Na je hiko cheti Cha fani nyingine kina tambulika na NECTA au NACTE??? na je kama kinatambulika ujue hata ukifaulu utalipwa mshahara wa certificate hata kama una degree yako
 
Certificate ya kitu Gani mkuu, kama hiyo certificate Yako iliorodheshwa nakushauri beba hiko cheti chako cha certificate pamoja vingine vyote hata ulivyoombea ukifika kule kitaeleweka tu ya mungu mengi [emoji3578]
Sikuangalia. Ila Nina degree na certificate ya FULL HOTEL MANAGEMENT, Mambo ya uchef kww wingi...
 
Swali dogo tu we uliombea kwa cheti kipi??? Na je hiko cheti Cha fani nyingine kina tambulika na NECTA au NACTE??? na je kama kinatambulika ujue hata ukifaulu utalipwa mshahara wa certificate hata kama una degree yako
Niliombea Cheti Cha Degree.. na Cheti changu Cha certificate kinatambulika kabisa na NACTE. Hapo mwisho namekuelewa. Ahsante
 
Back
Top Bottom