methodinho
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 489
- 549
Yaaani hata kwenye familia kuna muda unadharaulika, unaonekana hauna msaada wala mchango wowote kwa familia, linapotokea swala la michangi ww hauna tu kila siku, hii yote ni kutokana na kutokuwa na kazi,wakuu sio poa kitaa pamoto miaka inazidi kukatika, kama kuna uwezekano wa kusaidiana tusaidiane asee