Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

UNanikumbusha alipokamatwa Yesu, Petro aliulizwa wewe ni mmoja wao? Alikana sana, wakamwambia hata kuongea kwako unafanana na Yesu[emoji28][emoji28][emoji28]
Asomaye na ajue
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu mimi ni raia tu
Wala sipo huko
 
Kiongozi kiuhalisia nyota moja ya JWTZ si sawa na nyota moja ya Polisi na wenzao wote wa mambo ya ndani, kule Monduli maluteni usu kila mwaka huwa wanaapishwa na President tu, na hajawahi tuma mwakilishi 'kwa niaba yake' ni lazima aende yeye mwenyewe

JWTZ hakuna gazetted officers wote kuanzia Luteni usu hadi Generali huitwa commissioned officers

Anyway labda mapolisi wa humu ndani watuambie hapo kwenye masuala ya protocol, kwamba kwa mfano Luteni usu (nyota moja wa jwtz) na ASP (nyota tatu wa polisi) wakikutana, nani ataanza kudondosha Salute kwa mwenzake

Wapo wanaosema hayo ni majeshi tofauti yenye mifumo tofauti, hivyo haina haja ya kupigiana salute, labda wao wenyewe wa mambo ya ndani ndio vyeo vyao viko sawa ila siyo kwa JWTZ

Lakini as far as i know ni kuwa JWTZ ndio jeshi senior na superior kiprotocol, ndio maana hata kwenye mikutano ya viongozi mfano ikulu au bungeni mpangilio wao wa kukaa mara nyingi huwa anaanza CDF, IGP, DGIS, CGP, CGF then CGI, halafu ndio wanafuata hao wa PCCB na DCEA

Hata kipindi cha Magufuli alitaka aanzishe system ya kuteua general officers wa JWTZ kuwa wakuu wa vyombo vya usalama vya mambo ya ndani, mfano alimteua Suleiman Mzee kuwa CGP Magereza ambaye alikuwa ni Major General cheo cha tatu kutoka juu, na tena hiyo ilihesabika ni kama demotion

Wakati kwa magereza cheo cha tatu kutoka juu ni DCP, so maana yake ni kwamba, Major General wa JWTZ na DCP wa Magereza kiprotocol hawako sawa MG ni mkubwa
Hao wa mambo ya ndani wanapenda sana kujitutumua
 
Kutuliza wenge na amini majira ya Mungu wahuni wametoboa wakiwa 30+ maadam ujafariki upo hiii dunia kukomaaa ma madude utatoka tu kila mtu na historia yake una 29 unaweza hisi umri mkubwa Wana ulikutana nao wata kushangaa kuona unalalmika miaka ya nyuma brother kitaaa alikomaa na hiz Mambo kila akienda anatemwa jamaa mtu wa mpira Sana amejarb majeshi Zaid Mara 6 juz Niko mkoa nikawa na muulzia Yule bro Yuko na ambiwa alibahatisha akapata alikuwa na bother wake afisa mwana alikuwa ana pambana Sana kwa hiyo umri not big deal maadam una vigezo Baki wakati wa Mungu Kama iko iko tu, maadam uko duniani ujafa endelea kuamini tusali wakuu na kutoa zaka wakati wa Mungu ukifika hakuna wa kupinga
Amini mwanngu
.wakati wa Mungu ndo wakati,
Dua tu
,sku inakuja.
 
Hao wa mambo ya ndani wanapenda sana kujitutumua
Usiseme hivo mkuu, mimi maona JW ndio wanapenda kujitutumua ingawa nawakubali sana.

Hadi ka private ka Jw kanataka kaonekane kakubwa kwa Cpl wa polisi. Ki uhalisia naona PT kwanza inatakiwa hata maslahi yao yawe kama Jw, hebu fikiria mtu kozi miezi 12, adili na mambo yote ya kiraia na bado kikinuka baina ya nchi na nchi anatakiwa aende kupambana!!!

Mission unazozijua Jw wapo PT nao pia huchaguliwa kwenda!
 
Kwenye hzi mambo wakubwa huwa hawakosi nafasi zao kuanzia 2 na kuendelea, hizi ni maalumu kwa ajili ya heshima yao, huko kote kuanzia pt, ut, tiss, zt, mt, jw, n.k, kuna watu najua tupo nao humu na uhakika wanao, hv mnaonaje kuchukua hata wadau wawili wawili ili tuweze kutoka kitaa, na kusaidia wengine,
 
Back
Top Bottom