methodinho
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 489
- 549
Mikazo tu mkuu bhas tu ni vile tunakaziana aseeeOya mazee hivi jamii forum nzima humu hamna mtu mwenye connection ya mbuyu humo JWTZ au ndio kukaziana , ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikazo tu mkuu bhas tu ni vile tunakaziana aseeeOya mazee hivi jamii forum nzima humu hamna mtu mwenye connection ya mbuyu humo JWTZ au ndio kukaziana , ?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]UNanikumbusha alipokamatwa Yesu, Petro aliulizwa wewe ni mmoja wao? Alikana sana, wakamwambia hata kuongea kwako unafanana na Yesu[emoji28][emoji28][emoji28]
Asomaye na ajue
Hivi nimesema lolote rafiki?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu mimi ni raia tu
Wala sipo huko
Sent from my S6 using JamiiForums mobile app
Hao wa mambo ya ndani wanapenda sana kujitutumuaKiongozi kiuhalisia nyota moja ya JWTZ si sawa na nyota moja ya Polisi na wenzao wote wa mambo ya ndani, kule Monduli maluteni usu kila mwaka huwa wanaapishwa na President tu, na hajawahi tuma mwakilishi 'kwa niaba yake' ni lazima aende yeye mwenyewe
JWTZ hakuna gazetted officers wote kuanzia Luteni usu hadi Generali huitwa commissioned officers
Anyway labda mapolisi wa humu ndani watuambie hapo kwenye masuala ya protocol, kwamba kwa mfano Luteni usu (nyota moja wa jwtz) na ASP (nyota tatu wa polisi) wakikutana, nani ataanza kudondosha Salute kwa mwenzake
Wapo wanaosema hayo ni majeshi tofauti yenye mifumo tofauti, hivyo haina haja ya kupigiana salute, labda wao wenyewe wa mambo ya ndani ndio vyeo vyao viko sawa ila siyo kwa JWTZ
Lakini as far as i know ni kuwa JWTZ ndio jeshi senior na superior kiprotocol, ndio maana hata kwenye mikutano ya viongozi mfano ikulu au bungeni mpangilio wao wa kukaa mara nyingi huwa anaanza CDF, IGP, DGIS, CGP, CGF then CGI, halafu ndio wanafuata hao wa PCCB na DCEA
Hata kipindi cha Magufuli alitaka aanzishe system ya kuteua general officers wa JWTZ kuwa wakuu wa vyombo vya usalama vya mambo ya ndani, mfano alimteua Suleiman Mzee kuwa CGP Magereza ambaye alikuwa ni Major General cheo cha tatu kutoka juu, na tena hiyo ilihesabika ni kama demotion
Wakati kwa magereza cheo cha tatu kutoka juu ni DCP, so maana yake ni kwamba, Major General wa JWTZ na DCP wa Magereza kiprotocol hawako sawa MG ni mkubwa
Amini mwannguKutuliza wenge na amini majira ya Mungu wahuni wametoboa wakiwa 30+ maadam ujafariki upo hiii dunia kukomaaa ma madude utatoka tu kila mtu na historia yake una 29 unaweza hisi umri mkubwa Wana ulikutana nao wata kushangaa kuona unalalmika miaka ya nyuma brother kitaaa alikomaa na hiz Mambo kila akienda anatemwa jamaa mtu wa mpira Sana amejarb majeshi Zaid Mara 6 juz Niko mkoa nikawa na muulzia Yule bro Yuko na ambiwa alibahatisha akapata alikuwa na bother wake afisa mwana alikuwa ana pambana Sana kwa hiyo umri not big deal maadam una vigezo Baki wakati wa Mungu Kama iko iko tu, maadam uko duniani ujafa endelea kuamini tusali wakuu na kutoa zaka wakati wa Mungu ukifika hakuna wa kupinga
AminAmini mwanngu
.wakati wa Mungu ndo wakati,
Dua tu
,sku inakuja.
Mtu kama nikiwa na mbuyu mbona nawavuta na wana tu ,sema ndio hivyo tena wengine kukazianaMikazo tu mkuu bhas tu ni vile tunakaziana aseee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi nimesema lolote rafiki?
Wala sijaesema....lkn pia huwa sidanganyiki kirahisi...usijali lkn[emoji16][emoji16]
Unadata bila ya shida yani[emoji23][emoji23]Dah acha t mwanngu..ukiangalia age nayo inazidi kukimbia,inazidi pagawa..lyf la bongo uspokua na stamala unadata fresh kabisa unaokota kopo
Milele daima haiwezi kukaribiana hata nusu.
unafikiri ni rahisi mkuu, unakuta huo mbuyu umedarektiwa tu na mzee fulani,!!Mtu kama nikiwa na mbuyu mbona nawavuta na wana tu ,sema ndio hivyo tena wengine kukaziana
Tulikutana uzi gani mkuu?Lyoba na huku upo?
Usiseme hivo mkuu, mimi maona JW ndio wanapenda kujitutumua ingawa nawakubali sana.Hao wa mambo ya ndani wanapenda sana kujitutumua
SaW askari nimekuelewa vzur Mwenyz Mungu afanye wepes tuzame chombonIdadi iliyotakiwa ilichukuliwa
FanI Kama zp hzo masterKuna baadhi ya fani watachukuliwa ushindani hautakuwa mkubwa hasa levels za chini
Mkuu samahani wewe ni trader....maana jina lako na mwishoni ForexFanI Kama zp hzo master