Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kweli aise, afu kuna wengine mungu kaamuaga wasipate kabisa, yaan hata ahustle vipi, anapata kidogo hakimtishi(ufukara).

Kwahyo tule mtori nyama zipo chini, wale machei chei kama mimi nishajipa 85 za kukosa hizi nafasi
Mungu hatuwazii mabaya au kutupangia mabaya ndugu yangu. No one is destined kuwa fukara. Ukiamini kuwa utakuw fukara na haustahili kupiga hatua trust me utaendelea kuwa hivyo hivyo coz u will only attract negativity in your life. Kuwa na imagine, pray n let him open the doors for u. U never Mungu anaweza kukuinua wewe and become a rising star to save ur family..Never lose hope.
 
Kweli aise, afu kuna wengine mungu kaamuaga wasipate kabisa, yaan hata ahustle vipi, anapata kidogo hakimtishi(ufukara).

Kwahyo tule mtori nyama zipo chini, wale machei chei kama mimi nishajipa 85 za kukosa hizi nafasi
Cheichei na shangazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwenye maombi ya ajira yeyote ukitumia degree, diploma ,au certificate lazima na academic transcript iwepo
Hapana mkuu wangeiweka kama ni kitu necessary boss na ndio maana hawatak watu wakitumie hicho pekee kuombea maombi. Transcript utatakiwa kuipeleka huko mbeleni lakin hakukuwa na ulazima wakati wa kusubmit maombi.
 
Hilo mbona nimeshakujibu kwamba rais hawezi kufanya hivyo sababu hata yeye anajua fika kuwa JWTZ wanaweza kuongoza PT,

Hapana mkuu wangeiweka kama ni kitu necessary boss na ndio maana hawatak watu wakitumie hicho pekee kuombea maombi. Transcript utatakiwa kuipeleka huko mbeleni lakin hakukuwa na ulazima wakati wa kusubmit maombi.
Na walioweka transcrpt tu kwa sababu wamemalz chuo mwaka jana na hawajapata vyet je
 
Hapana mkuu wangeiweka kama ni kitu necessary boss na ndio maana hawatak watu wakitumie hicho pekee kuombea maombi. Transcript utatakiwa kuipeleka huko mbeleni lakin hakukuwa na ulazima wakati wa kusubmit maombi.
Hukanielewa mkuu namaanisha hivi vitu vinakuwa kwa pamoja ( gamba + transcript)

Huwezi tuma transcript pekee kwenye maombi ya ajira na huwezi tuma cheti pekee .

Ila kama kwenye upolisi wame specify wametaka cheti tuu ni sawa unaweza tuma
 
Back
Top Bottom