Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Na wale tumeomba na cha 4 na tuna one na two , hatutakatwa kweli?
Kuna jamaa yangu mmoja hivi alinisimulia kuwa alipofika CCp wakati wa ukaguzi wa vyeti akakutwa ana Div 1 kali tu na aliingia kwa level ya form 4 ingawa ana diploma ingawa yeye alitokea jkt kujitolea. So inawezekana as long as kwenye usaili wakikuona una potential
 
Form six nao wanachaguliwa Kama kawaida....

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwenye maombi hawajataja form six mtu unaenda tumia cheti cha form six kuomba

Baadae watu wanajipa moyo tutapita tu mnajua hao waliopita wanapitaje ? Mliwaona au ndio zile story

Ngoja muende huko mkoani kwenye usaili utakuja kuniambia

Watu wanajiponza wenyewe
 
Kwenye maombi hawajataja form six mtu unaenda tumia cheti cha form six kuomba

Baadae watu wanajipa moyo tutapita tu mnajua hao waliopita wanapitaje ?

Ngoja muende huko mkoani kwenye usaili utakuja kuniambia

Watu wanajiponza wenyewe
mkuu formula ya kupata kazi bongo haieleweki, umewahi kujiuliza ww unaye attach vyeti stahiki uko kwenye system??
 
Kwenye maombi hawajataja form six mtu unaenda tumia cheti cha form six kuomba

Baadae watu wanajipa moyo tutapita tu mnajua hao waliopita wanapitaje ? Mliwaona au ndio zile story

Ngoja muende huko mkoani kwenye usaili utakuja kuniambia

Watu wanajiponza wenyewe
Mm Nina rafik zangu wawil intake iliyopita waliomba kwa form six na walipita wote na washakua polisi tayar Sasa unavoniambia hawapiti sikuelewi mkuu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom