Xmonster
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 1,644
- 2,382
Sawa nimekupata kiongoziHakuna hata mmoja uliofanya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa nimekupata kiongoziHakuna hata mmoja uliofanya
Mkuuu daah betting nilifanyaga sana lkn ni mchezo wa bahati, japo kuna team huwa zinauza mechi, , , , lakini forex mkuu sio kama kubeti, forex ni inahitajika elimu ya kutosha mkuu, na ukijua bhas umetoboa, angali south africa mkuu,methodinho chief bora kubet kuliko forex...na hvyo vyote usitegemee hata kimoja...utapapaswa hutoamini
Kula maisha mkuu, kula utawalaMkuu nisikudanganye SIWEZI FATILIA forex hata dakika 1 😅😅
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]methodinho chief bora kubet kuliko forex...na hvyo vyote usitegemee hata kimoja...utapapaswa hutoamini
Nampa materials kijana wetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna kitu kama ikoKuna uwezekano UT na PT wakatangaza tarehe moja ya usaili mkubwa ili kupunguza watu automatically kuavoid mtu mmoja kupata chance huku na kule especially kwa proffesionals.
Hzi I'd mpya zinalonja za ukweli mara nyingi,✍️✅Kuna uwezekano UT na PT wakatangaza tarehe moja ya usaili mkubwa ili kupunguza watu automatically kuavoid mtu mmoja kupata chance huku na kule especially kwa proffesionals.
Haiwezi kuwa hivo hata kidogo Kila moja itatoa tarehe yake tofauti, na hata ukifaulu kotekote haiathiri chochote sababu reserve haikosekaniHzi I'd mpya zinalonja za ukweli mara nyingi,[emoji3578][emoji736]
Kaka ikitokea hivyo utajigawa wapi wewe UT au PTmatter of time bro
mkuu nitapima wapi pana uhitaji wa watu wengi, kifupi nitatinga PT afsaKaka ikitokea hivyo utajigawa wapi wewe UT au PT
MmmhKuna uwezekano UT na PT wakatangaza tarehe moja ya usaili mkubwa ili kupunguza watu automatically kuavoid mtu mmoja kupata chance huku na kule especially kwa proffesionals.
But it can happen. It was in a debate for the past few days but nothing is conclusive. So it is just a possibility bearing the fact that they all fall under the MOHA.Hakuna kitu kama iko