Lonja Kali sanaa.....Uzi unatembeaNina was was muda wowote pdf itashushwa
Nimehic tuza ndaani mkuu
[emoji28][emoji28][emoji28]Lonja Kali sanaa.....Uzi unatembea
Hujamuuliza kuhusu usaili wao ulivyokuwa?upate lolote kwa faida ya vijana humu maana kwa UT kuna umbwe la taarifa zao humu.Kuna demu amesoma na jamaa yangu O level mwaka jana alitoboa UT, jamaa kaniconnect nae , naona ananata sana , nimemuuliza baadhi ya mambo.
Akajibu kimtindo kuwa hakuna kitu alitoa , alipita tu free.
Sasa sijui ananikataa kiaina.
Hv kwann mtu akishapata kitu anakua anajisikia fulan hv?Kuna demu amesoma na jamaa yangu O level mwaka jana alitoboa UT, jamaa kaniconnect nae , naona ananata sana , nimemuuliza baadhi ya mambo.
Akajibu kimtindo kuwa hakuna kitu alitoa , alipita tu free.
Sasa sijui ananikataa kiaina.
Kuna demu mwingine naye alipata PT,kapangiwa dar kitengo kizuri ..juzi kati nimemcheki akaniuliza wewe nani nilivyojitambulisha ...akaanza kunibluetickKuna demu amesoma na jamaa yangu O level mwaka jana alitoboa UT, jamaa kaniconnect nae , naona ananata sana , nimemuuliza baadhi ya mambo.
Akajibu kimtindo kuwa hakuna kitu alitoa , alipita tu free.
Sasa sijui ananikataa kiaina.
Nimeshamuuliza , ila ananiambia nikiitwa kwenye usaili ndio ataniambia.Hujamuuliza kuhusu usaili wao ulivyokuwa?upate lolote kwa faida ya vijana humu maana kwa UT kuna umbwe la taarifa zao humu.
Wachache sana wanakumbukaga walipotoka.Hv kwann mtu akishapata kitu anakua anajisikia fulan hv?
Wachache sana wanakumbukaga walipotoka.
Kuna mdingi nilikuwa nachat nae jana huko zanziba tulikutana tu mtandao x huko. Na yupo position nzuri kabisa UT, alichoniambia ni kwamba nimechelewa kumwambia ila angenishika mkono. Aah sasa me si nikaendelea kumuuliza baadhi ya mambo ya kawaida kabisa, mamaee nilichezea blue tick mpaka najuta.
Hakuna kitu kinaniudhi kma ukinipiga bluetick...ni dharau ya kiwango cha lamiiπWachache sana wanakumbukaga walipotoka.
Kuna mdingi nilikuwa nachat nae jana huko zanziba tulikutana tu mtandao x huko. Na yupo position nzuri kabisa UT, alichoniambia ni kwamba nimechelewa kumwambia ila angenishika mkono. Aah sasa me si nikaendelea kumuuliza baadhi ya mambo ya kawaida kabisa, mamaee nilichezea blue tick mpaka najuta.
Personality tu za watuHv kwann mtu akishapata kitu anakua anajisikia fulan hv?
Kweli aise ila pia ukiwa na hela unapunguza makasiriko na watuPersonality tu za watu
Yupi huyo tumpelekee moto π mamanz kama hawa unampelekea moto heshima inakuwepo πKuna demu mwingine naye alipata PT,kapangiwa dar kitengo kizuri ..juzi kati nimemcheki akaniuliza wewe nani nilivyojitambulisha ...akaanza kunibluetick
Wakati kabla hajapata kazi alikua ananipigia mno simu tunatiana moyo
sijui anaona kwamba ntampiga vizinga
Yupo dar ...alipitia jkt makutupora mrefu hv ana macho makubwa kiasi...Yupi huyo tumpelekee moto π mamanz kama hawa unampelekea moto heshima inakuwepo π
Hamna hela za kutisha wala nn sema tu kuvaa kivazi watu huwa wanajiona wameshawini kila kitu and looks down on other people...which is wrongKweli aise ila pia ukiwa na hela unapunguza makasiriko na watu
Unakua unadeal na ww kujipa furaha tu
Black? Au white?Yupo dar ...alipitia jkt makutupora mrefu hv ana macho makubwa kiasi...
Kma kuna uwezekano niwakilishe hapo chief π π π
Kweli man na ukijikweza sana utapoteza channel za kukwea zaidiiiHamna hela za kutisha wala nn sema tu kuvaa kivazi watu huwa wanajiona wameshawini kila kitu and looks down on other people...which is wrong
Maji ya kunde hivi ..amekaa sana jkt makutuporaBlack? Au white?