Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu washa sukuma sana milango iliyoandikwa vuta, amini inafungukaTatizo la watu humu hamtaki kukubaliana na hali, yani unaambiwa hali halisi unajikuta mjuaji endelea kuwa mjuaji utatoboa.
Sasa msuli na hatujui Lonja ikoje, tutasoma nn?Uhamiaji twiter wanapost Bendi zao tu za wakata viuno, badala ya kuweka PDF watu wale msuli.
Pdf jina likisoma ndio uanze kujiandaa kwa interviewSasa msuli na hatujui Lonja ikoje, tutasoma nn?
Lonja za jw unaweza zipata ila kama upo uraiani na hauna mbanga wenye nguvu kuuubwa aisee ni ngumu kama ngamia kupenya katka sindano, nasema hivyo sababu huyu CDF aliyeingia ni balaa kinoma yani jamaa yupo straight yani ukijichanganya umeliwa.lonja za JW hakuna wakuu
Watafutaji wametuma maombi kote kote ila ingekuwa mimi priority yangu ingekuwa UT kutokana na majukumu yao ya kazi tofauti na PT.Nilichogundua humu wengi wanakubali sana UT na wengi wametuma huko maombi
insta ndio balaaHhhha ww jamaa fala sana nami nawachungulia kila saa nawaona maaskari wanacheza tu na kuimba
Ni utaratibu mzuri lakini kwa maoni yanguLonja za jw unaweza zipata ila kama upo uraiani na hauna mbanga wenye nguvu kuuubwa aisee ni ngumu kama ngamia kupenya katka sindano, nasema hivyo sababu huyu CDF aliyeingia ni balaa kinoma yani jamaa yupo straight yani ukijichanganya umeliwa.
Mwaka jana vikosini vijana walifanya usahili op mbili i mean makao na samia tena samia wakiwa bado ni kuruti enzi za Mabeyo ila alivyoingia mwamba sasa hivi niongeapo hapa ni kuwa jamaa kaamua kurudisha utaratibu wa kitambo yani subiri mwenzako aondoke ndo na wewe utafata yani samia wanafanya usahili af madogo op mabeyo wamepigwa pending kwanza
Subiri pdf mkuu.Mbona nahisi dalili za kula K.O kwenye pdf la UT ? Au ni mimi tu najishtukia ?
lile ni chaka muhimu mkuu. ila hapaingiliki kitoto. Jah ablesi tuNilichogundua humu wengi wanakubali sana UT na wengi wametuma huko maombi
hahahahaDah inanikumbusha kipindi nasubilia ajira za ualimu tamisemi mwishowe nikala za kichwa hatari sana 😃
hahahahaDah inanikumbusha kipindi nasubilia ajira za ualimu tamisemi mwishowe nikala za kichwa hatari sana 😃
Kama huna watu basi mtegemee Bwana wa majeshiDah inanikumbusha kipindi nasubilia ajira za ualimu tamisemi mwishowe nikala za kichwa hatari sana 😃
Ajira za ualimu ndio huwa zinaniacha hoi yani nafasi elfu 9 ila wanaapply watu lefu 60Dah inanikumbusha kipindi nasubilia ajira za ualimu tamisemi mwishowe nikala za kichwa hatari sana 😃
Ndo hapo anachoshindwa kuelewa huyo mwamba!
Tupo wengii mnoo mkuu tatizo masikini tumesoma hii kada kaka na wote tupo tunagangaa njaa tuu wazazi wanatutegemea kuwa ipo siku walau tutakuwa msaada kwao lakini siyo mchezo kaka huu mwaka wa Saba mtaani hali mbaya na huku polisi nikujabahatisha maana Mungu ndo anajua kila kesho ya mwanadamuAjira za ualimu ndio huwa zinaniacha hoi yani nafasi elfu 9 ila wanaapply watu lefu 60
Yah , nampumzisha, ntamsumbua mpaka aje anitukane lijulikane mojaJina likitokea kwenye pdf mrukie hewani