Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Sawa lakini si ni ile ya kuombana kiutu uzima tu siyo ile ambayo mwanamke akikataa anaanza kufanyiwa figisu kwenye kazi yake

Sent from my S6 using JamiiForums mobile app
Mkuu hata ungekuwa ww unakiona chombo kipo hapo na umekielewa utashindwa kukiomba utelezi mkuu? Hata madaktari na manesi mahospitalin huko wanaombana..sembuse makamanda 😂😂😂
 
Sawa lakini si ni ile ya kuombana kiutu uzima tu siyo ile ambayo mwanamke akikataa anaanza kufanyiwa figisu kwenye kazi yake
Hizo figisu labda awe mtu binafsi na chuki zake ndio akufanyie hivyo. Otherwise dunia ipo tofauti kabisa saiv, unaweza mfanyia figisu hizo mtu , afu takukuru wakakunyooshq au mamlaka za juu yako zikakunyoosha maana kuna madawati ya kushughulikia mambo kama hayo
 
Daah ndugu yangu me pia ninaye mtu wa hivyo tena Siyo wa ku connectiwa na mtu bali namjua alipita kimchongo kwani alikuwa na jakata lkn vigezo vingine kama umri ulimtupa ajabu ametoka kozi tayari anakula maisha nikimwambia kuhusu iyo anakataa anakwambia juhud zangu tu yani ikafika time hata meseji zangu hajibu,nikaona kama najichoresha nimekaa zangu kimya na kabla hajatoka alikuwa mwana Sana ila kaniacha kitaa sahiv hana anachokujibu hata lonja akupi sijawahi kusema nimemuomba hela shida ni kutaka aniunganishe na mbanga wake yule.Nimejifunza kitu hapa duniani wakunyenyekewa ni mungu tu ,binadamu anaombwa msaada na siyo kunyenyekewa.[emoji3578]
Amekupa somo zuri sana kwenye maisha yako
 
Back
Top Bottom