Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mwaka wa Saba ndugu??😂😂😂 Mbona umri wa kuomba hizi nafasi kama umekupita sasa au ndo tunasukuma mlango ulioandikwa vuta, amini inafunguka
Hapana mkuu nimehitimu shahada ya elimu nikiwa na umri wa miaka 23 Jana nimetumiza miaka 30 naona nipo sahihi kujaribu pia na huku mkuu
 
Kuna watu wana ndugu zao Tamisemi na Wizarani tena vitengo haswaa ila kila siku wanalalamika ndugu zao hawawashiki mkono kwenye ajira za ualimu...wakiwacheki wanaaambiwa tu wewe apply tu kama una sifa utapita
 
Kuna bibi yangu anaconnection headquarter lkn ananiambia we apply tu utapita kma unavigezo ananipa story yake ya kwenda england kuwa hakuwa na connection lkn alitoboa[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mwambie sawa
 
Back
Top Bottom