Tena last year baada ya kukosa zile ajira za PT,UT,MP,ZT, aliiniita kuniambia mbna hukuniambia mapema nina watu wangekusaidia ikawa nalaumiwa kwamba nimefanya kosa ningemwambia ningepata akapigiwa mtu mkubwa mmoja nadhani ni RPC au Asp yupo Dodoma Kabisa yule mkubwa aksema kwann hajaomba huku dodoma ningemsaidia angefanikiwa basi akaahidi wakitoa tu tena niombee kwa dodoma.yeye atafanya yake pia bibi aliombwa amtumie soft copy akaye nayo kama akiba ajabu ajira zimetoka ananijibu korahsi we omba tu utapata kwani hata mimi nilienda england bila connection. Kashakuwa kinyonga binadamu bhana wengi hatupendani tumejawa na wivu na unafiki wa hali ya juu.mtu anataka kila siku akuone huko vile vile.majuzi kat kaniita nikamwelekeze mwanaye ishu fulani kama kawaida yangu bibi ni mtani wangu nampiga utani mwingi then namwambia mambo ya connection still ananiambia safari hii utapata kwani hata yeye england alikwenda bila connection .