Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kuna demu amesoma na jamaa yangu O level mwaka jana alitoboa UT, jamaa kaniconnect nae , naona ananata sana , nimemuuliza baadhi ya mambo.

Akajibu kimtindo kuwa hakuna kitu alitoa , alipita tu free.

Sasa sijui ananikataa kiaina.
Hujamuuliza kuhusu usaili wao ulivyokuwa?upate lolote kwa faida ya vijana humu maana kwa UT kuna umbwe la taarifa zao humu.
 
Kuna demu amesoma na jamaa yangu O level mwaka jana alitoboa UT, jamaa kaniconnect nae , naona ananata sana , nimemuuliza baadhi ya mambo.

Akajibu kimtindo kuwa hakuna kitu alitoa , alipita tu free.

Sasa sijui ananikataa kiaina.
Kuna demu mwingine naye alipata PT,kapangiwa dar kitengo kizuri ..juzi kati nimemcheki akaniuliza wewe nani nilivyojitambulisha ...akaanza kunibluetick
Wakati kabla hajapata kazi alikua ananipigia mno simu tunatiana moyo
sijui anaona kwamba ntampiga vizinga
 
Hv kwann mtu akishapata kitu anakua anajisikia fulan hv?
Wachache sana wanakumbukaga walipotoka.

Kuna mdingi nilikuwa nachat nae jana huko zanziba tulikutana tu mtandao x huko. Na yupo position nzuri kabisa UT, alichoniambia ni kwamba nimechelewa kumwambia ila angenishika mkono. Aah sasa me si nikaendelea kumuuliza baadhi ya mambo ya kawaida kabisa, mamaee nilichezea blue tick mpaka najuta.
 
HUjachelewa wala nini,hataki tu kukusaidia....
Hii dunia usipokua makini utamchukia kila mtu inabidi ujifunze kuishi na wanadamu
Wachache sana wanakumbukaga walipotoka.

Kuna mdingi nilikuwa nachat nae jana huko zanziba tulikutana tu mtandao x huko. Na yupo position nzuri kabisa UT, alichoniambia ni kwamba nimechelewa kumwambia ila angenishika mkono. Aah sasa me si nikaendelea kumuuliza baadhi ya mambo ya kawaida kabisa, mamaee nilichezea blue tick mpaka najuta.
 
Wachache sana wanakumbukaga walipotoka.

Kuna mdingi nilikuwa nachat nae jana huko zanziba tulikutana tu mtandao x huko. Na yupo position nzuri kabisa UT, alichoniambia ni kwamba nimechelewa kumwambia ila angenishika mkono. Aah sasa me si nikaendelea kumuuliza baadhi ya mambo ya kawaida kabisa, mamaee nilichezea blue tick mpaka najuta.
Hakuna kitu kinaniudhi kma ukinipiga bluetick...ni dharau ya kiwango cha lamii😅
 
Kuna demu mwingine naye alipata PT,kapangiwa dar kitengo kizuri ..juzi kati nimemcheki akaniuliza wewe nani nilivyojitambulisha ...akaanza kunibluetick
Wakati kabla hajapata kazi alikua ananipigia mno simu tunatiana moyo
sijui anaona kwamba ntampiga vizinga
Yupi huyo tumpelekee moto 😂 mamanz kama hawa unampelekea moto heshima inakuwepo 😂
 
Back
Top Bottom