MOSHI UFUNDI
JF-Expert Member
- Nov 25, 2022
- 526
- 1,222
ME pia nimehisi hivyo.HUjachelewa wala nini,hataki tu kukusaidia....
Hii dunia usipokua makini utamchukia kila mtu inabidi ujifunze kuishi na wanadamu
Kama pdf ipo tayari inakuw ngumu maana inakuw inasubiri approval tu ya kuwa released...which I think is the case here maybe.Wachache sana wanakumbukaga walipotoka.
Kuna mdingi nilikuwa nachat nae jana huko zanziba tulikutana tu mtandao x huko. Na yupo position nzuri kabisa UT, alichoniambia ni kwamba nimechelewa kumwambia ila angenishika mkono. Aah sasa me si nikaendelea kumuuliza baadhi ya mambo ya kawaida kabisa, mamaee nilichezea blue tick mpaka najuta.
nimeshangaa kuona watu walivo na roho ngumu. sema mm hainistui coz wabongo wengi tunakunjianamfwende UNANISHANGAA MPAKA NAOGOPA BOSS VIPI PDF huko??
Ngoja nkupe kidogo, mwaka jana vigzo vilikuwa ni kuanzia 4 ya 28 au 29 kama sikosei lakini hao hao polisi walirudi kwenye kambi x wakafolenisha vijana na kwa surplus ile ikabidi wachukue mpaka vijana wa div 1 na tu tena kwa shingo upande kabisa lakini leo hii vijana wale wapo kwenye ajira zao.Vigezo huna wakuchukue tu labda uwe na mbanga nyie jipeni moyo tu wenzenu juzi hapa wamemaliza mikataba yao na mtakutana nao wengi tu kwenye mapambano
Nilimuuliza what if mungu kajaalia nimeitwa kwenye saili, naweza nikakucontact kwa msaada. Mjomba hapo ndio blue tick zilianzaa.Kama pdf ipo tayari inakuw ngumu maana inakuw inasubiri approval tu ya kuwa released...which I think is the case here maybe.
so sad champsNilimuuliza what if mungu kajaalia nimeitwa kwenye saili, naweza nikakucontact kwa msaada. Mjomba hapo ndio blue tick zilianzaa.
Hatari mkuu, njia ya mafanikio ni ngumu kuliko ya mbinguni naona.so sad champs
Nilimuuliza what if mungu kajaalia nimeitwa kwenye saili, naweza nikakucontact kwa msaada. Mjomba hapo ndio blue tick zilianzaa.
Yah!! Nilihisi hivyo pia , ila kama ni mtego, angenikataa , asinge ruhusu maongezi zaidi. Maana kabla alishaniambia napaste reply yake hapa Kwa dodoma tumeshachelewa maana muda wowote mtaitwa kwenye usaili na wa huku Zanzibar nao watatangaza waliochaguliwa kwenye usaili wakati wowoteMzee anazingua...sema wengine huwa wanaogopa wanafikiri vijana mnatumwa kuchunguza credibility ya zoez zima la ajira..involvement ya.mambo ya kubebana au rushwa
Tatizo la watu humu hamtaki kukubaliana na hali, yani unaambiwa hali halisi unajikuta mjuaji endelea kuwa mjuaji utatoboa.Yaani kama una vigezo usahili umefanya vizuri utapita tu haijalishi upo kambini au haupo
Haya mambo ya kambini kuchukuliwa wengi ni story tu .
Jina likitokea kwenye pdf mrukie hewaniYah!! Nilihisi hivyo pia , ila kama ni mtego, angenikataa , asinge ruhusu maongezi zaidi. Maana kabla alishaniambia napaste reply yake hapa Kwa dodoma tumeshachelewa maana muda wowote mtaitwa kwenye usaili na wa huku Zanzibar nao watatangaza waliochaguliwa kwenye usaili wakati wowote
Nina binamu yangu nayeye ametoka kuniambia hiki πππ maana yeye daily ni kurefresh page za insta, twitter na website kusubiri pdf. Ila Mungu atasaidia tu mzee mtatoboaUhamiaji twiter wanapost Bendi zao tu za wakata viuno, badala ya kuweka PDF watu wale msuli.
Yupo sahihi kabisa sijui ni nini kinawafanya wadelay ila walishamaliza. UT ni taasisi ambayo huwa wako speedy kidogo na systematically mambo yao. Vijana muendelee kusubiri huku mkijiandaa pia.Yah!! Nilihisi hivyo pia , ila kama ni mtego, angenikataa , asinge ruhusu maongezi zaidi. Maana kabla alishaniambia napaste reply yake hapa Kwa dodoma tumeshachelewa maana muda wowote mtaitwa kwenye usaili na wa huku Zanzibar nao watatangaza waliochaguliwa kwenye usaili wakati wowote
Ndo hapo anachoshindwa kuelewa huyo mwamba!Ila kiukweli kwa level za form 4 wengi wanachukuliwa wa kutoka makambini huko.
HahahahahahaaKuna demu mwingine naye alipata PT,kapangiwa dar kitengo kizuri ..juzi kati nimemcheki akaniuliza wewe nani nilivyojitambulisha ...akaanza kunibluetick
Wakati kabla hajapata kazi alikua ananipigia mno simu tunatiana moyo
sijui anaona kwamba ntampiga vizinga
[emoji23] [emoji23]Uhamiaji twiter wanapost Bendi zao tu za wakata viuno, badala ya kuweka PDF watu wale msuli.
Oyaa bluetick hyo ndio nin wajuba?[emoji23][emoji23]Wachache sana wanakumbukaga walipotoka.
Kuna mdingi nilikuwa nachat nae jana huko zanziba tulikutana tu mtandao x huko. Na yupo position nzuri kabisa UT, alichoniambia ni kwamba nimechelewa kumwambia ila angenishika mkono. Aah sasa me si nikaendelea kumuuliza baadhi ya mambo ya kawaida kabisa, mamaee nilichezea blue tick mpaka najuta.
Hhhha ww jamaa fala sana nami nawachungulia kila saa nawaona maaskari wanacheza tu na kuimbaUhamiaji twiter wanapost Bendi zao tu za wakata viuno, badala ya kuweka PDF watu wale msuli.