MOSHI UFUNDI
JF-Expert Member
- Nov 25, 2022
- 526
- 1,222
ME pia nimehisi hivyo.HUjachelewa wala nini,hataki tu kukusaidia....
Hii dunia usipokua makini utamchukia kila mtu inabidi ujifunze kuishi na wanadamu
Afu kuna watu wamezaliwaga na Roho za kukunja tu and most of them wametoka katika familia kama zetu