Hahahah umeshapapaswa na pdfShakula zauso tyr[emoji24][emoji24][emoji24]
Ngja niapply magereza wiki ijayo...huko nako sina mbuyu nikipapaswa ntakua nacheka mwenywe jinsi dunia inavyokua inaenda bila watu utapapaswa sana aiseHuko kaka ndipo penyewe ila huku kwingine daah kisanga kaka
There's always next time Mzee..Shakula zauso tyr[emoji24][emoji24][emoji24]
Utafanyiwa usaili kwa kada yako na chini ya kikosi ulichopangiwa.Mkuu usahili ukoje?
Wanauliza general au wana base na kada husika?
Sent using Jamii Forums mobile app
SahihiUtafanyiwa usaili kwa kada yako na chini ya kikosi ulichopangiwa.
Thanks chief.Utafanyiwa usaili kwa kada yako na chini ya kikosi ulichopangiwa.
Hahahahahaha hatareee sema nasikia mt inapenda kuchukua hata op za nyuma haichaguiNgja niapply magereza wiki ijayo...huko nako sina mbuyu nikipapaswa ntakua nacheka mwenywe jinsi dunia inavyokua inaenda bila watu utapapaswa sana aise
Utafanyiwa usaili kwa kada yako na chini ya kikosi ulichopangiwa.
Wataalamu washakuwa wengi lakini wataalamu wa afya wanahitajika chomboni. Kuna transformation ya Hospital ya Hospital ya polisi kuifanya referral Hospital...huwez kufikia hizo levels bila ya kuwa na Medical Doctors level ya degree. Lakini pia jeshi la polisi lina zahanati nyingi sana karibia mikoa yote Tanzania kwa hiyo ni muhimu kuongeza wataalamu hususani wa Clinical Medicine kuoperate huko wilayani na mikoani. Lakini pia kwenye Forensic bureau as well vijana wa afya wanahitajika so kama upo mtaani, hujapata mchongo wa kueleweka kwa nn usijaribu chomboni hahaha.Daah nimeangalia hio list nimeona degree za kushiba nyingi
Hivi mpka madaktari wana tatizo la ajira kiasi hichi
Hii nchi hii hatari sana
Kipindi kile watu wenye fani ya udaktari walikuwa wanataka waende nje kuna nchi zilikuwa zinawahitaji nishasahau ulikuwa muhula wa nani wakawekewa vikwazo wakawazuia
Halafu sasa wakibaki nyumbani wakiwa wazalendo kuwaajiri changamoto .
Mungu awasaidie kwakweli huko tunapoenda hali itazidi kuwa mbaya
Tutakuwa kama Nigeria [emoji16] ... Tutakuwa na Yahoo boys na Sisi
Hapo hapo tu. Ukifika ulizia utaelekezwa kiongozi. All the bestHivi vikosi vyote vipo sehem moja? Yan pale pale kurasini au maana Mimi nimepangiwa CHUO CHA TAARUMA YA POLISI
Nimekuona mzee ak hv op gani hii akHivi vikosi vyote vipo sehem moja? Yan pale pale kurasini au maana Mimi nimepangiwa CHUO CHA TAARUMA YA POLISI
🙏 Ngoja tukapambanieHapo hapo tu. Ukifika ulizia utaelekezwa kiongozi. All the best
Operation miaka 50 ya muungano kiongozNimekuona mzee ak hv op gani hii ak
Hizi zetu wakongwe hizi miaka 50 ya muunganoNimekuona mzee ak hv op gani hii ak
Hahahahahaha hatareee sema nasikia mt inapenda kuchukua hata op za nyuma haichagui