Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Daah nimeangalia hio list nimeona degree za kushiba nyingi

Hivi mpka madaktari wana tatizo la ajira kiasi hichi

Hii nchi hii hatari sana

Kipindi kile watu wenye fani ya udaktari walikuwa wanataka waende nje kuna nchi zilikuwa zinawahitaji nishasahau ulikuwa muhula wa nani wakawekewa vikwazo wakawazuia

Halafu sasa wakibaki nyumbani wakiwa wazalendo kuwaajiri changamoto .

Mungu awasaidie kwakweli huko tunapoenda hali itazidi kuwa mbaya

Tutakuwa kama Nigeria [emoji16] ... Tutakuwa na Yahoo boys na Sisi
 
Wataalamu washakuwa wengi lakini wataalamu wa afya wanahitajika chomboni. Kuna transformation ya Hospital ya Hospital ya polisi kuifanya referral Hospital...huwez kufikia hizo levels bila ya kuwa na Medical Doctors level ya degree. Lakini pia jeshi la polisi lina zahanati nyingi sana karibia mikoa yote Tanzania kwa hiyo ni muhimu kuongeza wataalamu hususani wa Clinical Medicine kuoperate huko wilayani na mikoani. Lakini pia kwenye Forensic bureau as well vijana wa afya wanahitajika so kama upo mtaani, hujapata mchongo wa kueleweka kwa nn usijaribu chomboni hahaha.
 
Back
Top Bottom