Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Na UT ndio pagumu zaidi sasa
Watachukua wengi lakini awamu hiiHawakosagi
Hongera champ.kila la kheriWamtumainio bwana. Ni kama mlima Sayuni. Nao hautatikisika kamwe..... Wakuu NAMSHUKURU MUNGU NIMEITWA KWENYE USAHILI... NAWASHUKURU WOTE. WALIOKOSA TUSIKATE TAMAAA
Embu elezea vizuri kuhusu Jw mzee wa ikuluKaanza na fire kesho kila kitu kipo on
Usaili wa JW tayari nafasi 89%
Walioomba fire wameambiwa wachague fire au polisi [emoji23]
JW wanasubiri wengine wamalize
Pole mkuu. Nilitamani sana upiteMpapaso umenipitia ,nishapigwa peresu peresu PDF ya Polisi
Duuuuh kumbe huwa kuna hawa wana, yeye haitwi hata kwenye usaili ni moja kwa moja anachomokaNa Kuna majamaa yamekaa home yanasikilizia kwenda CCP moja kwa mojaaa
Ahsante kakaHongera champ.kila la kheri
Hebu nitumie picha PM. Nimkanye aache tabia hioMaji ya kunde hivi ..amekaa sana jkt makutupora
mtag apa mkuu ..utakua umesaidia wengiIla nakumbusha humu kuna jamaa mmoja alitoa nafasi kwa mtu endapo jina lake likitoka kwenye pdf ya pt usaili amcheki, , , , , , , wakuu msisahau hilo pia
Ndo mnavyosemaga, alafu kwenye usaili tunakutanamakamanda wa PT nawaombea kheri mtusue, kwenye pdf sijatokea
mkuu huniamini ?? mulize bro monster mm ni mtafutaji kitambo wa hzi ajira za majeshi pasipo unafiki ama kuwachora wana kwa aina yoyote,sipo nitasema nikiwepo nitasema mkuuNdo mnavyosemaga, alafu kwenye usaili tunakutana
Nacheka lkn naogopa[emoji3][emoji3][emoji3]Ila Bora tena wakukate mapema kuliko kukatwa mwishoni[emoji28][emoji28][emoji28]... Nikikumbuka usahili wa TAKUKURU nilifika mpaka oral Ila mwishoni nikapigwa ndoige iliyochanganywa na sugunyoo.
Bado umri mwisho 25 yaani ni kuteseka tuSasa magereza si wameweka ukomo wa kidato Cha nne elimu mwisho