Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Wamtumainio bwana. Ni kama mlima Sayuni. Nao hautatikisika kamwe..... Wakuu NAMSHUKURU MUNGU NIMEITWA KWENYE USAHILI... NAWASHUKURU WOTE. WALIOKOSA TUSIKATE TAMAAA
Huu uzi nilikuwa naufatilia kitambo sana nimefurahi kuona vijana mnatiana moyo na mnapeana lonja all the best ndugu zangu
 
Hali ishakuwa mbaya mno siku nyingi ,ni vile bado tu hatujaanza kutengeneza criminal cartels kama za Kule Nigeria au Mexico , hahaaaa mhalifu msomi mwenye masters na Phd ,nenda Lagos ndio utajua , wapo lundo . Mpaka serikali imewainulia mikono , matapeli grade one wapo pale ,mpaka wazungu wa Australia huko wanalizwa na hao miamba ,noma cheki hii
Wahalifu wasomi huku ndipo tunapoenda [emoji16]
 
Back
Top Bottom