Xavee
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 424
- 636
Ina maana amebadirishana majina ya diploma na aidha mtu wa juu yake au wa chini yake!!Sijakuelewa boss.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana amebadirishana majina ya diploma na aidha mtu wa juu yake au wa chini yake!!Sijakuelewa boss.
Kijana hujui hata jina la wizara inayokuajiri mkuu? Jitahid vitu vidogovidogo hivi ujue kwa lugha ya malkia tupambane na kujenga jeshi letu kwenye literate levelNaelewa bhas sasa mkuu
Inawezekana, lakini hamna shida errors zipo siku ya usaili aende tu kwenye kikosi husik na atasailiwa tu...corrections zitafanyika.Ina maana amebadirishana majina ya diploma na aidha mtu wa juu yake au wa chini yake!!
Kuwa afisa mkuu hahaha. Vitengo vipo mzeeNa hilo ndiyo jeshi ambalo naona hata kujiendeleza kielimu ni ishu maana kule unasoma ili ukawe nani sasa
Sent from my S6 using JamiiForums mobile app
We bana Kuna kazi Zina ku motivate zenyewe kuzifanya, alafu Kuna zingine 😂😂😂 acha nikae kimyaMagereza kuna nini ambacho kitamfanya ajute?
Maana kazi yoyote ile bila passion lazima utaiona ngumu.
Hamna namna inabidi tuendelee kupambana na utumishi wazee wa mikando heavynikiwakosa MOHA safari hii,itabidi nirudishe majeshi utumishi tu
We umejiunga Leo alafu unasema ulikua una ufuatiliaga kitamboHuu uzi nilikuwa naufatilia kitambo sana nimefurahi kuona vijana mnatiana moyo na mnapeana lonja all the best ndugu zangu
😂😂😂 Utumishi wata kupiga kama dufu ndugu, kule sio poaa kabisaanikiwakosa MOHA safari hii,itabidi nirudishe majeshi utumishi tu
Anatuzuga au sio ?We umejiunga Leo alafu unasema ulikua una ufuatiliaga kitambo
weka evidence mkuu?Hili pdf kuna majina yako mawili mawili.
[emoji23] Atakuwa alikuwa anatembelea kama Guest user...We umejiunga Leo alafu unasema ulikua una ufuatiliaga kitambo
mkuu mm ni mkali. ila naona wakati wangu labda bdo😂😂😂 Utumishi wata kupiga kama dufu ndugu, kule sio poaa kabisaa
Kuna ma afisa mifugo , afisa kilimo watu wa misitu watu wa afya nakadhalikaNa hilo ndiyo jeshi ambalo naona hata kujiendeleza kielimu ni ishu maana kule unasoma ili ukawe nani sasa
Hongera mkuu... Bila dhaka nawe umetokea kwenye pdf 1.Mi nilishasema huu mwaka, "legal or illegal baby I got make it[emoji445]"
Na mwenye masikio asikie na mwenye macho asomeUsikubali mtu akupe maoni....
Nakumbuka wakati naingia jkt nilikuwa na mentality ya kudharau vyombo vingine, lakini nilikuja kubadirishwa na Captain moja hivi...!!
Aliongea akasema, "Vijana haya mambo ya kudharau vyombo vingine vya ulinzi yanepitwa na wakati na ni mambo ya zamani na ya kishamba, nyakati zenu ni nyakati ngumu sana kwenye swala la ajira, na hakuna zoazoa kama zamani..usije hata siku moja ujachagua uende wapi nenda kokote as lilong as ni maswala ya ulinzi na usalama kwa sababu, Rais wet Magufuli amejitahidi kufuta gepu lililokuwepo kati ya vyombo vingine na JW".
Vijana wenzangu, ajira ni ajira tuu unapokuwa kwenye haya maswala ya ulinzi na usalama, hayo maswala ya status tuwaachie wenye fikra finyu lakini ukibahatika freshi.. Mimi napenda kuyaangalia zaidi maisha yangu kwa sababu muhusika ni mimi. Kokote kule nitaenda.
Namshukuru Mungu sasa kwenye pdf ya kwanza nipo na nawashukuru wanajukwaaa kwa kuendelea kutiana moyo!! Tuko pamoja na tutaendelea kuwa pamoja.
Mi sijatokea mpaka niitwe ccpHongera mkuu... Bila dhaka nawe umetokea kwenye pdf 1.