Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Wakuu nafasi zilikua ngapi upande wa degree😂 nisichome nauli.. na hzo siku saba za interview maana yake unakua kambi au
 
Nilikuwa Sina mpango wa kuomba polisi,akapita mjeda mmoja hivi, akanishauri omba mi nitaangalia namna,Leo bhana yametoka majina kapita kitaa akaniuliza wenzio wameitwa vp wewe nikamwambia nimebahatika bhana,nipo akasema nakuombea Mungu update bhana akazuga zuga kawasha chombo mbelee😆😄
 
Wakuu nafasi zilikua ngapi upande wa degree[emoji23] nisichome nauli.. na hzo siku saba za interview maana yake unakua kambi au
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Nchi ngumu hii ukiwa not shortlisted kisanga na ukiwa shortlisted kisanga pia, haswa ukiwa huna mbanga,,, boss kashiriki hiyo hatua uthubutu una nguvu sana na matumaini kuliko kutoenda kbs,
 
Wakuu nafasi zilikua ngapi upande wa degree😂 nisichome nauli.. na hzo siku saba za interview maana yake unakua kambi au
Mbona Tangazo like wazi, utajigharamia katika hatua zote za usaili. Kama wewe ni Serengeti njoo PM mambo madogo tu aya
 
Back
Top Bottom