mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
afsa we omba ,kitaa hali ni mbaya zaidi ya magerezaNakuelewa mkuu lakini naona point zako mkuu hazitaki kabisa kwenda huko, kuna nini haswa mkuu ndo nataka kujua unifumbue
Huu uzi nilikuwa naufatilia kitambo sana nimefurahi kuona vijana mnatiana moyo na mnapeana lonja all the best ndugu zanguWamtumainio bwana. Ni kama mlima Sayuni. Nao hautatikisika kamwe..... Wakuu NAMSHUKURU MUNGU NIMEITWA KWENYE USAHILI... NAWASHUKURU WOTE. WALIOKOSA TUSIKATE TAMAAA
Najua nature na majukumi yao ya kazi sio powaaa...ila mm nilishakubaliki kwenda kulitumikia
AaaahNajua nature na majukumi yao ya kazi sio powaaa...ila mm nilishakubaliki kwenda kulitumikia
Nusu mfungwa nusu askariAaaah
Moha ndo kina naninikiwakosa MOHA safari hii,itabidi nirudishe majeshi utumishi tu
Hahahahaha kvp mkuuNusu mfungwa nusu askari
Utumishi wanakera sana ajira wakitangaza leo kuja kuita usaili baada ya miezi kadhaa...placement tena nazo baada ya miezi mpaka mnasahau πnikiwakosa MOHA safari hii,itabidi nirudishe majeshi utumishi tu
Ministry of Home AffairsMoha ndo kina nani
Mwanangu mfwende si ufunguke poti[emoji16]afsa we omba ,kitaa hali ni mbaya zaidi ya magereza
Hataki kutupa ya kweli
Naelewa bhas sasa mkuuMinistry of Home Affairs
Wahalifu wasomi huku ndipo tunapoenda [emoji16]Hali ishakuwa mbaya mno siku nyingi ,ni vile bado tu hatujaanza kutengeneza criminal cartels kama za Kule Nigeria au Mexico , hahaaaa mhalifu msomi mwenye masters na Phd ,nenda Lagos ndio utajua , wapo lundo . Mpaka serikali imewainulia mikono , matapeli grade one wapo pale ,mpaka wazungu wa Australia huko wanalizwa na hao miamba ,noma cheki hii