methodinho
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 489
- 549
Hivj kama umepigiwa simu alafu ukaenda kuakiki mkoani kuna shida yoyoteUkisoma vizur hilo andiko uliloliquote ukiwa umetulia, ukiwa umeshiba bila kukikimbizwa, basi jibu la swali ulilouliza linapatikana hapo hapo.
Kuna jamaa mmoja huko juu alitangaza mwenye mbanga amfate PMWakuu nani mwenye mbanga ya JW tuingie msata chap.....
Ogopa sana Id mpya mkuuKuna jamaa mmoja huko juu alitangaza mwenye mbanga amfate PM
Ndio fresh sasa unapata uhakika zaidi.Hivj kama umepigiwa simu alafu ukaenda kuakiki mkoani kuna shida yoyote
Hao ndio walimwenguOgopa sana Id mpya mkuu
Askari anakunja ngapi kule per monthNdege Tai tanapa kupoje mkuu, asee
Tanapa wna salary scale yao. maisha ni mazuri kuliko UT&PT. ila ajira zao zinapitia utumishi mkuuAskari anakunja ngapi kule per month
mwanangu LYOBA thanks ,nilimcheki amenipa mwangaOgopa sana Id mpya mkuu
Oya ,mwenye maswali ya UT arushe mazeemwanangu LYOBA thanks ,nilimcheki amenipa mwanga
Safi sana mkuu, all the bestmwanangu LYOBA thanks ,nilimcheki amenipa mwanga
Usiangalie hizo mambo kwa sasa chief...Askari anakunja ngapi kule per month
Kajaribu mkuu uje utoe mrejesho mzee.Huwa wanawakazia ambao wanaingia kama mamluki au ?
Thank you champsSafi sana mkuu, all the best