Watu wa kada ya afya wanaingia kote kote kwa mfano madaktari wapo ambao watabak afya kuu kuhudumu mahospitali na wengine watakuw forensic huko. Sawa na wataalamu wengine wa kisayansi kama watu wa maabara wapo ambao watapangiwa kuhudumu mahosp wengine watapangiwa maabara za uchunguzi kwenye forensic department.
Forensic ni chaka tamu sana chomboni. Linahusu uchunguzi wa criminal issues kwa njia za kisayansi. Kwa mfano kama mtu amefariki kifo cha kutatanisha, daktari ataitwa kuweza kudetermine the cause of death baada ya uchunguzi either kama mtu alinyongwa, au lah...pamoja na kuchukua samples na wataalamu wengine kuangalia kama sumu zilitumika au vipi.
In short FB ni pana na inahusisha wataalamu wengi sio tu wa kada ya afya...watu wa fingerprinting, wataalamu wa milipuko, wataalamu wa mitandao na cybercrime, ITs and so on....