Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Umeskia sahihi

Jwtz watakuja tena kama round mbili au tatu maana idadi iliyoombwa ni kubwa

Wadogo zangu Op Samia kaeni chonjo [emoji16]najua wanajua nazungumzia nini

Na vyombo vya wizara ya ndani vinakuja tena

Daah nikajua watapumzika mama amependelea majeshi safi sana.
Watu alfu 7....[emoji23][emoji23]
 
Wakuu aliyeomba kwa fomu 4 hizi nafasi za polisi kwa mkoa wa tanga, vp umepigiwa simu, umetumiwa sms au jina limebandikwa kwenye mbao za RPC ??

Mm kwangu kimya sms na simu sijapigiwa na nipo huku bush kabisa nauli yakwenda kwa RPC kama wamebandika ni kipengele

Nyie vpp
 
Upo wapi kiongozi
 
Wakuu naomba kujua dress code ya hizi sahili za majeshi ya ulinzi ni zipi
Mi sijawahi fanya,Ila usiwe na nywele nyingi piga brush tu,toa ndevu Zen kiatu km unacheusi kibrash fresh,nyoosha nguo chomekea
 
Make sure kama ni suruali imenyooka na pasi kama panga[emoji16][emoji16] usisahau kuchomekea na kunyoa ndevu(kama unazo) pia kichwano panki sijui fanki ya kiafande.

Chini kiatu ngozi nyeusi ing’ae mnoo(isiwe moka ya church)[emoji16][emoji16]

Watamalizia wengine over!!
 
L

Kwann isiwe moka ya church. Kama ni cheusi na kiko smart
 
Naomb tuwekana sawa kidogo kwani kwa sisi ambao tumeomb kupitia form 4 ni lazima tupigiwe simu au tupate sms mii nacho jua kweny form ya Maelezo wamesm
Waombaji wenye elimu ya kidato cha nne waliowasilisha maombi yao kwa Makamanda wa Polisi wa Mikoa usaili wao utafanyika kwenye Mikoa waliyowasilisha maombi yao.
Saaa apo sijajaju watu hamja elewa nini
 
Wakuu jina langu limetoka kwenye kitengo afya halafu watu wa kada yangu wengine wamewekwa Kamisheni ya Forensic hilo limekaaje?
Watu wa kada ya afya wanaingia kote kote kwa mfano madaktari wapo ambao watabak afya kuu kuhudumu mahospitali na wengine watakuw forensic huko. Sawa na wataalamu wengine wa kisayansi kama watu wa maabara wapo ambao watapangiwa kuhudumu mahosp wengine watapangiwa maabara za uchunguzi kwenye forensic department.

Forensic ni chaka tamu sana chomboni. Linahusu uchunguzi wa criminal issues kwa njia za kisayansi. Kwa mfano kama mtu amefariki kifo cha kutatanisha, daktari ataitwa kuweza kudetermine the cause of death baada ya uchunguzi either kama mtu alinyongwa, au lah...pamoja na kuchukua samples na wataalamu wengine kuangalia kama sumu zilitumika au vipi.

In short FB ni pana na inahusisha wataalamu wengi sio tu wa kada ya afya...watu wa fingerprinting, wataalamu wa milipuko, wataalamu wa mitandao na cybercrime, ITs and so on....
 
BOss tusaidie tips za interview kwa wale wa form4 huku mikoani.
 
Back
Top Bottom