KWA wale mtakao fanikiwa kupitia sahili ilobaki mtuunganishe na mbanga zenu kwa sisi ambao hatujabahatika tuanze kuanda mazingira mapema next time zikitoka na sisi tuingie chombon in Sha Allah... but yote kwa yote mungu awatangulie katika mapambano yetu Kwa waliopata nafasi na tumtangulize mungu kwa kila jambo tutafanikiwa in Sha Allah....
Nb: usisahau ulipotoka
Nb: usisahau ulipotoka