Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hivi mfano una vigezo vyote ila shida tuu urefu tatizo [emoji41] maana magereza wanataka futi 5’7 kwa wananume...ukiwa na below ya hapo na vigezo vingine unavyo inamaana unaweza temwa.?
 
Kuna ndugu yangu ni service man 832 KJ Ruvu. Ana elimu ya kidato cha 4. Naskia RPC alikuja kwenye usaili wa Polisi hapo kikosini kwao, dogo ana urefu wa futi 5'4, aliachwa, anasema anasubiri baka halina maelekezo[emoji3]. So bila shaka wanazingatia hilo
 
Uyo ndug yako bado yupo kambini..?
 
Hivi kwanini uhamiaji hawajatoa kigezo ya urefu..?? Anejua sababu atueleweshe..
 
Kuna ndugu yangu ni service man 832 KJ Ruvu. Ana elimu ya kidato cha 4. Naskia RPC alikuja kwenye usaili wa Polisi hapo kikosini kwao, dogo ana urefu wa futi 5'4, aliachwa, anasema anasubiri baka halina maelekezo[emoji3]. So bila shaka wanazingatia hilo
Well and guwd..

Mimi nashauri kwa ambaye yuko mtaani, ana cheti cha Jkt.. aombe tu regardless ya urefu wake.

JW inakuja, ila kwanza Anza na hii ambayo iko waziwazi..

"Ukiona Target kwa wakati wako Endelea"...
 
Hivi kwanini uhamiaji hawajatoa kigezo ya urefu..?? Anejua sababu atueleweshe..
Hivi na uhamiaji limeshakuwa Jeshi Kama Jeshi la Polisi au la wananchi au la magereza?

Masharti yao yataongezeka one day.
 
Well and guwd..

Mimi nashauri kwa ambaye yuko mtaani, ana cheti cha Jkt.. aombe tu regardless ya urefu wake.

JW inakuja, ila kwanza Anza na hii ambayo iko waziwazi..

"Ukiona Target kwa wakati wako Endelea"...

Chama la wana linakuja [emoji39][emoji39]
 
Hivi anayeomba kwa kutumia elimu ya kidato cha sita kwenye usahili anatakiwa aende na vyeti vyote pamoja na vya kidato cha nne??
 
Yeah, dogo bado yupo camp mpaka leo, bado hajamaliza mkataba. Aliingia kule 2019, ni OP Makao Makuu

Umejaribu kumuuliza tetesi za jw kwamba watatoa lini maana wao najua wanazipata lonja huko..
 
IMG_7274.jpg

IMG_7275.jpg

IMG_7276.jpg

IMG_7277.jpg
 
Back
Top Bottom