Balozi limited
JF-Expert Member
- Jun 6, 2022
- 989
- 2,565
Poa mkuu
Ipo busy inachakata mamboMibanga imeuchuna hainijubu meseji zangu ,life bhana,
Mwanza nimepita naenda kibaruani nimewaona wapo wengi pale mkoani...Mnao anza saili leo , toeni lonja wakuu.
Muumba wa mbingu na Ardhi awe pamoja na ninyi.
Nendeni pale DPA au kituo cha Polisi watawapa muongozo.Nimeangalia eneo hili kwenye google maps lakini sina uhakika, je ndio maeneo ya kilwa road police kiongozi
Tehama ofisi zao ziko separate na majengo ya PT kule Kurasini wao ni ofisi ukipita unaweza jua ni ofisi binafsi.Sawa sawa mkuu, Bado sijaelewa ni sehemu gani kikosi Cha tehama kinapatikana kiongozi, kutoka kwenye maelezo ya Bia Ya Moto ni kilwa road maeneo ya bandari nimecheki kwenye google maps naona Kuna kilwa Rd police na Police College sehemu hizo je ni maeneo hayo ?
Vijana mliopo kurasn mbona hamtupi update kinachoendelea huko[emoji2][emoji2][emoji2]Nendeni pale DPA au kituo cha Polisi watawapa muongozo.
Ya jandoni yanabaki na ngaliba.[emoji16]Vijana mliopo kurasn mbona hamtupi update kinachoendelea huko[emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji2][emoji2][emoji2]Ya jandoni yanabaki na ngaliba.[emoji16]
Ingia chomboni kwanza mjuba......habar za mishahara ya watu utazikuta hukohuko πππWakuu mm naomba kuuliza ktk mshahara wa polisi wa form 4 hiv take home inakua bei gan na baada ya marupurupu anabakia na ngap na ukijuumlish na zile za lindo maan nimeambiwa PT cku iz ni kuzur mno
πππ Nauliza kwa niabaIngia chomboni kwanza mjuba......habar za mishahara ya watu utazikuta hukohuko πππ
Naomba unijibu bas kama unaelewa hiki kituπIngia chomboni kwanza mjuba......habar za mishahara ya watu utazikuta hukohuko πππ