Tafuta deedpolNa vipi hii issue ya NIDA lets say imekosewa kwenye maswala ya spellings? Au hii case pia ina fall at the same category, kama ulivyo elezea?
Yes ndio namaanisha hizo.Zile za maafisa ambazo sio za kuchomekea ziko poa..kama kaunda suti.
Nimetoka kuchukua hio Affidavit afanye kweli achukue buku kumi tu anapataHakuna shida kama atapita maana hata baadhi kwenye intake yetu walikuw na hiyo shida ila wakasaidiwa na wanasheria wa polisi kule kwenye mambo ya affidavit. Ila namshauri awe afanye mchakato wa kisheria awe na affidavit maana hiyo itamletea changamoto ikitokea amekosa polisi au akiwa anatafuta kazi nyingine.
Deedpol inachukua muda mrefu kidogo hawez kuipata siku ata siku tano zinaweza kufikaNimetoka kuchukua hio Affidavit afanye kweli achukue buku kumi tu anapata
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nakazia hapa... Wakuu wapo kimya sanaWakuu mliopo usaili PT tupeni lonja kidogo tunaokuja wiki ijayo
Ucjal kamanda ronja utapewa tuu,sooon wanakusanya full data wakija watatupa tuuNakazia hapa... Wakuu wapo kimya sana
Wakati nimemsikia afande leo anasema kikosi afya inabidi wapatikane watu 30 kati ya 510PT nafasi nyingi
Tupe ronja Basi Jana na leo kimefanyika ninWakati nimemsikia afande leo anasema kikosi afya inabidi wapatikane watu 30 kati ya 510
Jana ilikua written exam na leo ilikua oral exam ingawa baadhi ya vitengo vya taaluma bado hawaja fanya oral watu ni wengi sana kule,hio ni kwenye kikosi afyaTupe ronja Basi Jana na leo kimefanyika nin
hawatak hata kutupa abcWakuu mliopo usaili PT tupeni lonja kidogo tunaokuja wiki ijayo
Kizazi sana.Hakuna shida kama atapita maana hata baadhi kwenye intake yetu walikuw na hiyo shida ila wakasaidiwa na wanasheria wa polisi kule kwenye mambo ya affidavit. Ila namshauri awe afanye mchakato wa kisheria awe na affidavit maana hiyo itamletea changamoto ikitokea amekosa polisi au akiwa anatafuta kazi nyingine.
Kazi ipo kama ndoivoWakati nimemsikia afande leo anasema kikosi afya inabidi wapatikane watu 30 kati ya 510
Nafasi elf 3 afya wachukue 30 tu sasa course zingine si watachukua mmoja mmoja?? Sdhani kama ni kwelWakati nimemsikia afande leo anasema kikosi afya inabidi wapatikane watu 30 kati ya 510
Kumbe written mmeshapiga... Format inakuaje... English/Swahili... Maswali yanabase kwenye taaluma yako au ni generalJana ilikua written exam na leo ilikua oral exam ingawa baadhi ya vitengo vya taaluma bado hawaja fanya oral watu ni wengi sana kule,hio ni kwenye kikosi afya
Intake iliyopita kikosi cha afya kilikuw na watu wengi sana so ni kweli idadi haitaweza kuwa kama ya last intake...Wakati nimemsikia afande leo anasema kikosi afya inabidi wapatikane watu 30 kati ya 510
Baba daktari umuulize maswali ya proffesional kwa kiswahili si itakuw tattoo mkuu. Mitihani ni kiingerezaKumbe written mmeshapiga... Format inakuaje... English/Swahili... Maswali yanabase kwenye taaluma yako au ni general
30 siyo kweliNafasi elf 3 afya wachukue 30 tu sasa course zingine si watachukua mmoja mmoja?? Sdhani kama ni kwel
kwan kuna watu wanaulizwa kiswahiliBaba daktari umuulize maswali ya proffesional kwa kiswahili si itakuw tattoo mkuu. Mitihani ni kiingereza