MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Kama affidavit unayo hilo halina shida ni haki yako kabisa duuh aiseeNimekula ndoige mapema cheti kimoja kilkosewa Herufi Moja imeongezeka na ya Affidavit regarding to names ninayo hawakutaka kunisikiliza sio poa
Sometimes inategemea watu wameamkjeKwaio ukuwa umeishia hapo?
Mbona Kuna mwanangu mmoja alikua anaumia majina mawili na ana affidavit na wamemuelewa kwako vip sijaelewa imekaaje
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Naomba niseme jambo kwenye scenario hii na nyinginezo. Ikiwa Mungu ameamua kukupa nafasi ya jambo fulani atakupa tu haijalishi nini!Nimekubali nimerudi mtaani yaani Bila Baba kantuma Yani hutoboi maana kuna Wengine wamepita na wanashida kama yangu
Wameamua kupunguza Kaka maana kila kitu kipo clear yaani pale mkoani kuna mambo mengi hayajakaa vizuri Katika usaili Ila ndio hivyo Hakuna namna tutafute fursa nyingine tupambaneDah mbona sababu nyepesi sana?? Afu hivyo vitu si vina maelekezo yake, labda wameamua wapunguze kwa staili hiyo.
Kabisa Kaka yaani imeniuma ila nimeshukuru MunguKama affidavit unayo hilo halina shida ni haki yako kabisa duuh aisee
Wamekufanyia unyama tu
Kabisa Kaka Kikubwa kutokata tamaa Mungu ndio muweza WA yote uvumilivu na Maombi Kwa wingiNaomba niseme jambo kwenye scenario hii na nyinginezo. Ikiwa Mungu ameamua kukupa nafasi ya jambo fulani atakupa tu haijalishi nini!
Lakini ikiwa hajataka upate hiyo nafasi hautaipata hata ufanye vipi. Hapa ndipo nayakumbuka maneno ya MwanaFA kwenye wimbo wake wa "MFALME" anaposema "MUNGU HAKUPI KAMA HATAKI, HATA UKIPORA ITAPOTEA ILIMRADI YATIMIE MAANDISHI"
Tujifunze kuyaelewa na kuyakubali Mapenzi ya Mungu maishani mwetu. Kumbuka kwa wale waKristo huwa tunasali kati sala ya BWANA kuwa "MAPENZI YAKO YATIMIZWE HAPA DUNIANI KAMA HUKO MBINGUNI"
Usife moyo mwana wa Ufalme wa Mbinguni, wakati wa Mungu upo na ni wakati sahihi.
Tatizo mikoani wengi hawana maamuzi yaani wako mbali na uongozi wa juu. Ila kwa huku Barrick ni safisafi, mtu hakuhakiki vyeti siku ya kwanza Ila mpaka jumanne maafande wanamtafuta wamalizane naeWameamua kupunguza Kaka maana kila kitu kipo clear yaani pale mkoani kuna mambo mengi hayajakaa vizuri Katika usaili Ila ndio hivyo Hakuna namna tutafute fursa nyingine tupambane
Wamepita usahili mwingine amaNimekubali nimerudi mtaani yaani Bila Baba kantuma Yani hutoboi maana kuna Wengine wamepita na wanashida kama yangu
Hawa watu ni wachache Sana Tz...Mtu aliesoma RADIOLOGY awe hana ajira anicheki nasisitiza anicheki.
Sina ajira ila niliitiwa hii fursa sehemu tena connection ya serikalini moja kwa moja.
Yaan walosoma radiologyHawa watu ni wachache Sana Tz...
Kwa level ipi hii? Maana kuna diploma, degree na wa Mmed kabisaMtu aliesoma RADIOLOGY awe hana ajira anicheki nasisitiza anicheki.
Sina ajira ila niliitiwa hii fursa sehemu tena connection ya serikalini moja kwa moja.
Diploma au bachelorKwa level ipi hii? Maana kuna diploma, degree na wa Mmed kabisa
Umeitwa usaili PT?Habarini ndugu zanguni nimekuwa nikipita Kila Mara katika uzi wetu pendwa huu Kila mmoja wetu anatamani kupata fursa hizi zinazotangazwa kupitia vyombo hivi na kwa hakika humu tumo watu wa aina tofautitofauti mchakato wa kupata watu wenye sifa stahiki pamoja na kuwa waombaji wengi haimaanishi kuwa kutokuitwa katika saili hizi kwamba hauna sifa/vigezo lah! Hasha pengine labda ni kuzidiana sifa/vigezo ama connections ama vinginevyo mm binafsi nilipata bahati ya kufanya mujibu wa sheria na baada ya mujibu wa sheria nilirudi tena kwa kujitolea JKT kwa muda wa zaidi ya miaka mi3 lakini bado sikubahatika kupata ajira na nilifanya application kwa ajira zote PTna UT lakini sikubahatika kuitwa katika sahili hata moja paka Sasa pamoja na kutuma katika nyakati tofautitofauti zile mwaka juzi na hata hizi pamoja na kuwa vigezo vyote tajwa bado sikuitwa kabisa yote tisa bado sijakata tamaa kabisa Kuna wakati utafika tu mambo yatakaa uzuri mwisho pamoja yote hayo nitumie fursa hii kuomba Kama Yuko mtu mwenye moyo kusaidia wengine humu niombe na mie Kama uko kwenye mfumo wowote either PT, UT, PCCB na JWTZ ana uwezo wa kunishika mkono tafadhali naomba msaada ukinicheck DM nitashushuru Sana, Muwe na jioni njema nyote..
Hawa watu wanahitajika sana lakini pia DDS pia...Tamisemi walikosa watu kufill gaps so watakuja tena kufanya readvertisement.Diploma au bachelor
Sio walikosa watu hawa watu wapo sema sio nyomi hujiulizi ajira za tamisemi watu wanazikimbia unatupwa kijijini huko hata maji hakuna watu wapo lakini tamisemi jau kule huonagi post za radiology utumishi??? japo ni kwel wapo wachache kule tamisemi hawaombi maslahi madogo kule at a madaktari tamisemi hawaendagi fatilia hiliHawa watu wanahitajika sana lakini pia DDS pia...Tamisemi walikosa watu kufill gaps so watakuja tena kufanya readvertisement.
Nakubaliana na wewe ingawa kuna baadhi ya kada kama DDS huwa wanagraduate wachache na wanahitajika sana so wanaishia kukaa mijini tu. Tamisemi watu hawajipeleki kule kunazingua. Mtu hawez kuacha dili la 2.5m kwa DDs Town afu aende kijijini huko for the sake ya ajira y serikali.Sio walikosa watu hawa watu wapo sema sio nyomi hujiulizi ajira za tamisemi watu wanazikimbia unatupwa kijijini huko hata maji hakuna watu wapo lakini tamisemi jau kule huonagi post za radiology utumishi??? japo ni kwel wapo wachache kule tamisemi hawaombi maslahi madogo kule at a madaktari tamisemi hawaendagi fatilia hili