Habarini ndugu zanguni nimekuwa nikipita Kila Mara katika uzi wetu pendwa huu Kila mmoja wetu anatamani kupata fursa hizi zinazotangazwa kupitia vyombo hivi na kwa hakika humu tumo watu wa aina tofautitofauti mchakato wa kupata watu wenye sifa stahiki pamoja na kuwa waombaji wengi haimaanishi kuwa kutokuitwa katika saili hizi kwamba hauna sifa/vigezo lah! Hasha pengine labda ni kuzidiana sifa/vigezo ama connections ama vinginevyo mm binafsi nilipata bahati ya kufanya mujibu wa sheria na baada ya mujibu wa sheria nilirudi tena kwa kujitolea JKT kwa muda wa zaidi ya miaka mi3 lakini bado sikubahatika kupata ajira na nilifanya application kwa ajira zote PTna UT lakini sikubahatika kuitwa katika sahili hata moja paka Sasa pamoja na kutuma katika nyakati tofautitofauti zile mwaka juzi na hata hizi pamoja na kuwa vigezo vyote tajwa bado sikuitwa kabisa yote tisa bado sijakata tamaa kabisa Kuna wakati utafika tu mambo yatakaa uzuri mwisho pamoja yote hayo nitumie fursa hii kuomba Kama Yuko mtu mwenye moyo kusaidia wengine humu niombe na mie Kama uko kwenye mfumo wowote either PT, UT, PCCB na JWTZ ana uwezo wa kunishika mkono tafadhali naomba msaada ukinicheck DM nitashushuru Sana, Muwe na jioni njema nyote..