Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nimekubali nimerudi mtaani yaani Bila Baba kantuma Yani hutoboi maana kuna Wengine wamepita na wanashida kama yangu
Naomba niseme jambo kwenye scenario hii na nyinginezo. Ikiwa Mungu ameamua kukupa nafasi ya jambo fulani atakupa tu haijalishi nini!

Lakini ikiwa hajataka upate hiyo nafasi hautaipata hata ufanye vipi. Hapa ndipo nayakumbuka maneno ya MwanaFA kwenye wimbo wake wa "MFALME" anaposema "MUNGU HAKUPI KAMA HATAKI, HATA UKIPORA ITAPOTEA ILIMRADI YATIMIE MAANDISHI"

Tujifunze kuyaelewa na kuyakubali Mapenzi ya Mungu maishani mwetu. Kumbuka kwa wale waKristo huwa tunasali kati sala ya BWANA kuwa "MAPENZI YAKO YATIMIZWE HAPA DUNIANI KAMA HUKO MBINGUNI"

Usife moyo mwana wa Ufalme wa Mbinguni, wakati wa Mungu upo na ni wakati sahihi.
 
Kabisa Kaka Kikubwa kutokata tamaa Mungu ndio muweza WA yote uvumilivu na Maombi Kwa wingi
 
Wameamua kupunguza Kaka maana kila kitu kipo clear yaani pale mkoani kuna mambo mengi hayajakaa vizuri Katika usaili Ila ndio hivyo Hakuna namna tutafute fursa nyingine tupambane
Tatizo mikoani wengi hawana maamuzi yaani wako mbali na uongozi wa juu. Ila kwa huku Barrick ni safisafi, mtu hakuhakiki vyeti siku ya kwanza Ila mpaka jumanne maafande wanamtafuta wamalizane nae
 
Mtu aliesoma RADIOLOGY awe hana ajira anicheki nasisitiza anicheki.

Sina ajira ila niliitiwa hii fursa sehemu tena connection ya serikalini moja kwa moja.
 
Habarini ndugu zanguni nimekuwa nikipita Kila Mara katika uzi wetu pendwa huu Kila mmoja wetu anatamani kupata fursa hizi zinazotangazwa kupitia vyombo hivi na kwa hakika humu tumo watu wa aina tofautitofauti mchakato wa kupata watu wenye sifa stahiki pamoja na kuwa waombaji wengi haimaanishi kuwa kutokuitwa katika saili hizi kwamba hauna sifa/vigezo lah! Hasha pengine labda ni kuzidiana sifa/vigezo ama connections ama vinginevyo mm binafsi nilipata bahati ya kufanya mujibu wa sheria na baada ya mujibu wa sheria nilirudi tena kwa kujitolea JKT kwa muda wa zaidi ya miaka mi3 lakini bado sikubahatika kupata ajira na nilifanya application kwa ajira zote PTna UT lakini sikubahatika kuitwa katika sahili hata moja paka Sasa pamoja na kutuma katika nyakati tofautitofauti zile mwaka juzi na hata hizi pamoja na kuwa vigezo vyote tajwa bado sikuitwa kabisa yote tisa bado sijakata tamaa kabisa Kuna wakati utafika tu mambo yatakaa uzuri mwisho pamoja yote hayo nitumie fursa hii kuomba Kama Yuko mtu mwenye moyo kusaidia wengine humu niombe na mie Kama uko kwenye mfumo wowote either PT, UT, PCCB na JWTZ ana uwezo wa kunishika mkono tafadhali naomba msaada ukinicheck DM nitashushuru Sana, Muwe na jioni njema nyote..
 
Habarini wapendwa mimi nin rafiki yangu ambae amemaliza form 4 ila anch taka yeye anaomba ajue kozi mzuri yakusoma chuo cha bandari pia kama kuna chuo kingine tofauti na chuo kilichopo dsm anaomba kujua ni ivyo tuu
 
Habarini ndugu zanguni nimekuwa nikipita Kila Mara katika uzi wetu pendwa huu Kila mmoja wetu anatamani kupata fursa hizi zinazotangazwa kupitia vyombo hivi na kwa hakika humu tumo watu wa aina tofautitofauti mchakato wa kupata watu wenye sifa stahiki pamoja na kuwa waombaji wengi haimaanishi kuwa kutokuitwa katika saili hizi kwamba hauna sifa/vigezo lah! Hasha pengine labda ni kuzidiana sifa/vigezo ama connections ama vinginevyo mm binafsi nilipata bahati ya kufanya mujibu wa sheria na baada ya mujibu wa sheria nilirudi tena kwa kujitolea JKT kwa muda wa zaidi ya miaka mi3 lakini bado sikubahatika kupata ajira na nilifanya application kwa ajira zote PTna UT lakini sikubahatika kuitwa katika sahili hata moja paka Sasa pamoja na kutuma katika nyakati tofautitofauti zile mwaka juzi na hata hizi pamoja na kuwa vigezo vyote tajwa bado sikuitwa kabisa yote tisa bado sijakata tamaa kabisa Kuna wakati utafika tu mambo yatakaa uzuri mwisho pamoja yote hayo nitumie fursa hii kuomba Kama Yuko mtu mwenye moyo kusaidia wengine humu niombe na mie Kama uko kwenye mfumo wowote either PT, UT, PCCB na JWTZ ana uwezo wa kunishika mkono tafadhali naomba msaada ukinicheck DM nitashushuru Sana, Muwe na jioni njema nyote..
Umeitwa usaili PT?
 
Hawa watu wanahitajika sana lakini pia DDS pia...Tamisemi walikosa watu kufill gaps so watakuja tena kufanya readvertisement.
Sio walikosa watu hawa watu wapo sema sio nyomi hujiulizi ajira za tamisemi watu wanazikimbia unatupwa kijijini huko hata maji hakuna watu wapo lakini tamisemi jau kule huonagi post za radiology utumishi??? japo ni kwel wapo wachache kule tamisemi hawaombi maslahi madogo kule at a madaktari tamisemi hawaendagi fatilia hili
 
Nakubaliana na wewe ingawa kuna baadhi ya kada kama DDS huwa wanagraduate wachache na wanahitajika sana so wanaishia kukaa mijini tu. Tamisemi watu hawajipeleki kule kunazingua. Mtu hawez kuacha dili la 2.5m kwa DDs Town afu aende kijijini huko for the sake ya ajira y serikali.
 
Back
Top Bottom