HujanielewaNafasi elf 3 afya wachukue 30 tu sasa course zingine si watachukua mmoja mmoja?? Sdhani kama ni kwel
Hiyo ni uongoHujanielewa
Nilisikia wanataka kuchukua watu 500 kwenye huu usahili wa mwaka huu kati ya watu takribani 5000,ila kikosi afya pekee kilicho itwa Dar chenye watu kama 510 hivi,wanataka watu 30,ndo nilivo Sikia so hatujui kama ni za kweli au sio
Hujanielewa

Ikiwa hivi itakuwa ni hatari haikuwa na haja ya kuita watu wengi kiasi hicho,Kuna baadhi ya kada itakuwa imeita sawa na idadi ya watu wote wanaowahitaji ,hiyo sampo itakuwa nomaHujanielewa
Nilisikia wanataka kuchukua watu 500 kwenye huu usahili wa mwaka huu kati ya watu takribani 5000,ila kikosi afya pekee kilicho itwa Dar chenye watu kama 510 hivi,wanataka watu 30,ndo nilivo Sikia so hatujui kama ni za kweli au sio
Hapana sijabahatika kuitwa.Umeitwa usaili PT?
Pamoja na form 4 au ni professional tuHujanielewa
Nilisikia wanataka kuchukua watu 500 kwenye huu usahili wa mwaka huu kati ya watu takribani 5000,ila kikosi afya pekee kilicho itwa Dar chenye watu kama 510 hivi,wanataka watu 30,ndo nilivo Sikia so hatujui kama ni za kweli au sio
Mi sidhani kama ni kwel kama wanataka watu 30 tu isingekua na haja ya kuita watu wengi kiasi hichoHujanielewa
Nilisikia wanataka kuchukua watu 500 kwenye huu usahili wa mwaka huu kati ya watu takribani 5000,ila kikosi afya pekee kilicho itwa Dar chenye watu kama 510 hivi,wanataka watu 30,ndo nilivo Sikia so hatujui kama ni za kweli au sio
Nakubaliana na wewe ingawa kuna baadhi ya kada kama DDS huwa wanagraduate wachache na wanahitajika sana so wanaishia kukaa mijini tu. Tamisemi watu hawajipeleki kule kunazingua. Mtu hawez kuacha dili la 2.5m kwa DDs Town afu aende kijijini huko for the sake ya ajira y serikali.
Hiko ndo kitu yule afande alikua analalamika na kuhuzunika wametuita wengi lakini nafasi chache sanaa so sijui kama ni ukweli au zilikua story tuu,tusubiri tuone majibuIkiwa hivi itakuwa ni hatari haikuwa na haja ya kuita watu wengi kiasi hicho,Kuna baadhi ya kada itakuwa imeita sawa na idadi ya watu wote wanaowahitaji ,hiyo sampo itakuwa noma
Kwani kupima vipimo wamecharge Bei gani?Hiko ndo kitu yule afande alikua analalamika na kuhuzunika wametuita wengi lakini nafasi chache sanaa so sijui kama ni ukweli au zilikua story tuu,tusubiri tuone majibu
Si huwa 5000 tu? Au washabadili siku hizi?Kwani kupima
Kwani kupima vipimo wamecharge Bei gani?
Isijekuwa ume changanya na Ile taarifa ya Zanzibar...Hujanielewa
Nilisikia wanataka kuchukua watu 500 kwenye huu usahili wa mwaka huu kati ya watu takribani 5000,ila kikosi afya pekee kilicho itwa Dar chenye watu kama 510 hivi,wanataka watu 30,ndo nilivo Sikia so hatujui kama ni za kweli au sio
Sure nilisikia ni zenji,mwaka Jana walichukua fani wachache min nahisi na kujipa matumaini huenda mwaka huu wakachukua wengi wa faniIsijekuwa ume changanya na Ile taarifa ya Zanzibar...
Unazingua..majina yote yako elfu na kitu hivi ..madaktari wanakuaje 500..Hujanielewa
Nilisikia wanataka kuchukua watu 500 kwenye huu usahili wa mwaka huu kati ya watu takribani 5000,ila kikosi afya pekee kilicho itwa Dar chenye watu kama 510 hivi,wanataka watu 30,ndo nilivo Sikia so hatujui kama ni za kweli au sio
Yaan taarifa ya Zanzibar ni kwamba alioomba walikuwa 5000 wenye sifa 2000 wanaotakiwa 500Sure nilisikia ni zenji,mwaka Jana walichukua fani wachache min nahisi na kujipa matumaini huenda mwaka huu wakachukua wengi wa fani
ExactlyYaan taarifa ya Zanzibar ni kwamba alioomba walikuwa 5000 wenye sifa 2000 wanaotakiwa 500
Ila kama jina lako limetokea PT try ur level best maana una nafasi kubwa sana
Mambo Vipi KiongoziUmeitwa usaili PT?
Bila shaka hii ni Zanzibar...Jamani hii ishu ya PT tusijipe moyo sana wala tusikate tamaa sana ila kwa mim navyo elewa wanatak watu 500 tuu pia kumbukeni katika ao watu 500 kuna watu wapo jkt zaidi ya mikoo kumi pia kuna watu wapo kweny mikoo ambao ni form 4 apo ukipiga esabu fanya kila mkoa wanachukua watu 20 wa form 4 na 30 wa jkt kiufpi watu 50 ujaja kwa wale walio omba kupitia CV zao za vyuo kama medical tuu wapo zaidi ya 200 ujaenda IT ujaenda kozi zingine za business yani kiufup ni kuomb Mungu tuu tupate ila kweny hii ishu yaa saivi hasa kwenye PT tutaona Mengi sanaa