Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi elf 3 afya wachukue 30 tu sasa course zingine si watachukua mmoja mmoja?? Sdhani kama ni kwel
Hujanielewa
Nilisikia wanataka kuchukua watu 500 kwenye huu usahili wa mwaka huu kati ya watu takribani 5000,ila kikosi afya pekee kilicho itwa Dar chenye watu kama 510 hivi,wanataka watu 30,ndo nilivo Sikia so hatujui kama ni za kweli au sio
 
Hiyo ni uongo
 
Hii sidhani

Ikiwa hivi itakuwa ni hatari haikuwa na haja ya kuita watu wengi kiasi hicho,Kuna baadhi ya kada itakuwa imeita sawa na idadi ya watu wote wanaowahitaji ,hiyo sampo itakuwa noma
 
Pamoja na form 4 au ni professional tu
 
Hujanielewa
Nilisikia wanataka kuchukua watu 500 kwenye huu usahili wa mwaka huu kati ya watu takribani 5000,ila kikosi afya pekee kilicho itwa Dar chenye watu kama 510 hivi,wanataka watu 30,ndo nilivo Sikia so hatujui kama ni za kweli au sio
Mi sidhani kama ni kwel kama wanataka watu 30 tu isingekua na haja ya kuita watu wengi kiasi hicho
 
Unazungumzia Doctor of dental surgery hawa ndo wapo wachache sasa kuliko radiology
Nakubaliana na wewe ingawa kuna baadhi ya kada kama DDS huwa wanagraduate wachache na wanahitajika sana so wanaishia kukaa mijini tu. Tamisemi watu hawajipeleki kule kunazingua. Mtu hawez kuacha dili la 2.5m kwa DDs Town afu aende kijijini huko for the sake ya ajira y serikali.
 
Ikiwa hivi itakuwa ni hatari haikuwa na haja ya kuita watu wengi kiasi hicho,Kuna baadhi ya kada itakuwa imeita sawa na idadi ya watu wote wanaowahitaji ,hiyo sampo itakuwa noma
Hiko ndo kitu yule afande alikua analalamika na kuhuzunika wametuita wengi lakini nafasi chache sanaa so sijui kama ni ukweli au zilikua story tuu,tusubiri tuone majibu
 
Kwani kupima

Kwani kupima vipimo wamecharge Bei gani?
 
Hujanielewa
Nilisikia wanataka kuchukua watu 500 kwenye huu usahili wa mwaka huu kati ya watu takribani 5000,ila kikosi afya pekee kilicho itwa Dar chenye watu kama 510 hivi,wanataka watu 30,ndo nilivo Sikia so hatujui kama ni za kweli au sio
Isijekuwa ume changanya na Ile taarifa ya Zanzibar...
 
Sure nilisikia ni zenji,mwaka Jana walichukua fani wachache min nahisi na kujipa matumaini huenda mwaka huu wakachukua wengi wa fani
 
Hujanielewa
Nilisikia wanataka kuchukua watu 500 kwenye huu usahili wa mwaka huu kati ya watu takribani 5000,ila kikosi afya pekee kilicho itwa Dar chenye watu kama 510 hivi,wanataka watu 30,ndo nilivo Sikia so hatujui kama ni za kweli au sio
Unazingua..majina yote yako elfu na kitu hivi ..madaktari wanakuaje 500..
 
Jamani hii ishu ya PT tusijipe moyo sana wala tusikate tamaa sana ila kwa mim navyo elewa wanatak watu 500 tuu pia kumbukeni katika ao watu 500 kuna watu wapo jkt zaidi ya mikoo kumi pia kuna watu wapo kweny mikoo ambao ni form 4 apo ukipiga esabu fanya kila mkoa wanachukua watu 20 wa form 4 na 30 wa jkt kiufpi watu 50 ujaja kwa wale walio omba kupitia CV zao za vyuo kama medical tuu wapo zaidi ya 200 ujaenda IT ujaenda kozi zingine za business yani kiufup ni kuomb Mungu tuu tupate ila kweny hii ishu yaa saivi hasa kwenye PT tutaona Mengi sanaa
 
Bila shaka hii ni Zanzibar...
 
Back
Top Bottom