HujanielewaNafasi elf 3 afya wachukue 30 tu sasa course zingine si watachukua mmoja mmoja?? Sdhani kama ni kwel
Nilisikia wanataka kuchukua watu 500 kwenye huu usahili wa mwaka huu kati ya watu takribani 5000,ila kikosi afya pekee kilicho itwa Dar chenye watu kama 510 hivi,wanataka watu 30,ndo nilivo Sikia so hatujui kama ni za kweli au sio