Mlatino Zeshalo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,130
- 3,599
Mkuu naimani hii haikiwa paper ngumu kwakoUT tumeingia venue samoja ,ila pepa imepigwa satisa .wmesema ni somo la uvumilivu aiseeh imenipiga almanusura kuzima kozi sikula tangu jana
additiona dfns
define foreigner
immigration
entry points
multiple choice, na wimbo wa taifa sijauandika kma ulivo mkuuMkuu naimani hii haikiwa paper ngumu kwako
Kabla ya kuingia walihakiki vyeti ?MUNGU tutoe jalalani,benchi la mtaa la moto balaa, nikisoma na comments za mwnangu monster naona kabisa bongo imekua hell kwa vijana. Death has gotta easy coz life is hard- 50 cent song
yaah uhakiki tena wakutosha mkuuKabla ya kuingia walihakiki vyeti ?
kwa majina,unapigwa tiki kwenye documents zao na kupewa namba mkuuAu mliingia kwa majina .maanake kuna mwanangu alifosi mazingira ya uusaili ilihali hakuitwa usaili .cjui alifanikiw kweli uyo mwamba
Hapo nisingekosa 90+
Hatulingani uelewa kamanda. Unadhani huu ungekuwa mtihani wangu wa kwanza?Usiseme ivo mkuu hayo majibu yako unayoyaona ni sahihi huenda upo Op punguza mbwebwe
Kaka Inshaallah PDF ya Mwisho uwepo ..Miongoni mwa dua nyingi juu yako yangu ipo piayaah uhakiki tena wakutosha mkuu
Simple sana hakuna swali gumu sema Kwa vijana wa TikTok sijuiWakuu UT ilikua pepa technical
Defn
passport
requirements if u want travel abroad
bonified citizen
benefits of immigration to Economy of tz
african blocks that Tanzania is the member?
andika wimbo wa taifa
multiple choice
matching items haloo, wimbo wataifa nime robu robu kinoma wakuu.
pepa Ya Bachelor holder na Six, form four wamepiga pepa yao ilikua simpo kinyama,kidogo nilukie yao wazee.
Thank u champKaka Inshaallah PDF ya Mwisho uwepo ..Miongoni mwa dua nyingi juu yako yangu ipo pia
Acheni kujidanganya, huo mtihani ni rahisi na watu wataufumua. We kama umekuwa mgumu kwako usidhani utakuwa hivyo kwa kila mtu.Ndio tabia ya mtihan ulivyo. Ukisha toka tu njee unakuwa nyanya. Sii unaona jamaa kuna sehemu hakufanya vizuri kuandika wimbo wa taifa unadhani kwamba alikuwa haufahamu
Mkuu unayopitia wewe me pia napitia life gumu pia suala la mahusiano nalo changamoto mpenz adi dk hii sijamwambia kma nimekula ndoige maana anahuruma sana anaweza toa machozi mana maisha yangu yanamgusa moja kwa moja yeye kutwa aniombea mungu .ila tutafika salama hii Safari ya mafaniko,nakutakia kila la kheri champion,utaondoka safari hiiMUNGU tutoe jalalani,benchi la mtaa la moto balaa, nikisoma na comments za mwnangu monster naona kabisa bongo imekua hell kwa vijana. Death has gotta easy coz life is hard- 50 cent song
AmiinKaka Inshaallah PDF ya Mwisho uwepo ..Miongoni mwa dua nyingi juu yako yangu ipo pia
Paper maji kabisa hiyoUT tumeingia venue samoja ,ila pepa imepigwa satisa .wmesema ni somo la uvumilivu aiseeh imenipiga almanusura kuzima kozi sikula tangu jana
additiona dfns
define foreigner
immigration
entry points