SaulGoodman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2020
- 418
- 906
🗑️Hatulingani uelewa kamanda. Unadhani huu ungekuwa mtihani wangu wa kwanza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🗑️Hatulingani uelewa kamanda. Unadhani huu ungekuwa mtihani wangu wa kwanza?
Unaweza kwa muda bro mpaka pale utakaposimama...ni mipango tumkuu mahusiano ni maisha,ni vipi rijali unaweza jitenga mbali na mahusiano?
Changamoto ya nchi za ulaya ni haya ma IELTS au TOEFL...ukiwa nayo unatoboa. Kama hauna hayo magharama yake yanazingua unless upate ambayo haihitaj hizo language proficiency testsHii njia watu wengi wanatoboa, maana utasoma huku unapiga kazi. Kwa week nchi nyingi zinatoa masaa 20 ya kufanya kazi. Hivyo kwa mwezi ni masaa 80. Ukizidisha kwa dola 8 (kima cha chini kabisa japo unaweza pata zaidi) kama malipo ya kazi kwa saa, utakuwa na 640USD. wakati huo umepata full funded scholarship. Utagharmiwa kila kitu mpaka nauli.
Wakuu nimetoa hesabu ya haraka tu. Unaweza pata hela nzuri zaidi ya hiyo. Lakini pia baada ya kumaliza masomo utapewa muda wa kukaa katika nchi husika kwa kipindi cha miezi 18 (siyo kila nchi) kutafuta kazi. Ukifanikiwa kupata, amini kwamba waliokutangulia kupata kazi bongo wengi utawazidi.
Tumetoka mbali Sana,alafu mapenzi siyo kitu rahisi kama ulivyonishauriMkuu kwanini usiachane na mambo ya mapenzi kwanza usijeumia baadae ukipigwa tukio na uyo manzi
umeongea point afsa,kwenye luv huchomoki kizembe tena mkiwa mmekuwa pamoja for long, mfano mm mwaka wa sita huu,tunagombana na kusameheana, bebi wangu deili ana niambia mfwende nioe hvo hvo. but nikicheki ramani kula yangu tu MUNGU anasaidia.Tumetoka mbali Sana,alafu mapenzi siyo kitu rahisi kama ulivyonishauri
Kazi za utumishi mbna mm sikuzisikia chief..walitoa zipinimewapiga UTUMISHI kama watoto wadogo but akili iko UT tuu
Ajira portal uwe unaingia kucheki za kada yako huwa zinakuw posted hukoKazi za utumishi mbna mm sikuzisikia chief..walitoa zipi
TPDC,CPB,ministry of Agriculture NKKazi za utumishi mbna mm sikuzisikia chief..walitoa zipi
usitegemee majeshi uwe unapita na huku kuna asali,changamoto urasimu mwingiKazi za utumishi mbna mm sikuzisikia chief..walitoa zipi
zIpo kibao tu. Kikubwa uwe na cheti cha kuthibitisha umesoma kwa lugha ya kiingereza chuo. Cheti hicho unapewa chuoniChangamoto ya nchi za ulaya ni haya ma IELTS au TOEFL...ukiwa nayo unatoboa. Kama hauna hayo magharama yake yanazingua unless upate ambayo haihitaj hizo language proficiency tests
Kama kajipanga kipesa aende British Council anakipata cheti hicho kwa muda mfupi tu kikubwa ni ada yao tuzIpo kibao tu. Kikubwa uwe na cheti cha kuthibitisha umesoma kwa lugha ya kiingereza chuo. Cheti hicho unapewa chuoni
European Countries wapo vizuri kwenye kutoa full funded.Ukiwa unaapply unatafuta full funded tu. Partial huwa ni rahis sana kupata, sijui kwanini tu. Mimi nimeshaomba baadhi ya nchi, bado naendelea.
Maswali yote yalishaelekezwa hapa hapa Kwenye Uzi, pandisha Uzi usome comments utaona kila kitu unachohitaji.Samahani Wana Jf nimemalza usail wilayani na tumeitwa Tena usaili mkoan kwa mwenye experience mkoani huwa wanapiga zote written na oral au na wanauliza vitu gan
Washafanya usahili vikosini wanasubiri majina watakaoenda kozi tu yajeMakamanda vipi JW kinaendelea nini uko imekuwa kimya ghafla Zodwa
ZodwaHata mimi sijui mkuu wamekuwa kimya sana