Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

nisipo pata kazi mwaka huu
demu wangu atanielewa kweli w

umeongea point afsa,kwenye luv huchomoki kizembe tena mkiwa mmekuwa pamoja for long, mfano mm mwaka wa sita huu,tunagombana na kusameheana, bebi wangu deili ana niambia mfwende nioe hvo hvo. but nikicheki ramani kula yangu tu MUNGU anasaidia.
mkuu hii ndo ilifanya na mi nkakimbiwa,akikuambia muoe ivo ivo hiyo ni alert mkuu ana ku alert uyo na mie nlikua na waswas kama wako ntawezaje na hali hii nlokua nayo,ma dem vichwa vyao vinawaza vit vingi sana hasa akiona umri wake unaenda..lastly aliamua kuolewa t na mtu mwingne
 
Mwanangu ,mbungi itakua ngumu kuishi naye bila mishe.ila anapga alerts sana halooo sielewi yani.
 
Back
Top Bottom