Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Shukrani nipo rafikiNakumiss tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani nipo rafikiNakumiss tu
Aisee hata kama mlikosana msifikie hukumfwende ulinitukana Sana, mi nakuombea usipate iyo kazi ya uhamiaji. Ubaki kitaa, ujifunze nidhamu.
Dua la kuku alimpati mwewe jamaa ni muda wake wa kula maishamfwende ulinitukana Sana, mi nakuombea usipate iyo kazi ya uhamiaji. Ubaki kitaa, ujifunze nidhamu.
Hii mbaya .mfwende ulinitukana Sana, mi nakuombea usipate iyo kazi ya uhamiaji. Ubaki kitaa, ujifunze nidhamu.
MUNGU ni wetu soteUnamuombea kwa nani[emoji23]
Acha tuh afsa ,but jah ni mwaminifu kwa kila mtuAisee hata kama mlikosana msifikie huku
Thank u champsDua la kuku alimpati mwewe jamaa ni muda wake wa kula maisha
Ameen God is Good all the timeWakuu tuzidi kupambana na kumwomba MUNGU atutoe mtaani mwaka huu
mfwende ulinitukana Sana, mi nakuombea usipate iyo kazi ya uhamiaji. Ubaki kitaa, ujifunze nidhamu.
Kama ana maelekezo mazito..chomboni uhakikaDua la kuku alimpati mwewe jamaa ni muda wake wa kula maisha
nisipo pata kazi mwaka huu
demu wangu atanielewa kweli w
mkuu hii ndo ilifanya na mi nkakimbiwa,akikuambia muoe ivo ivo hiyo ni alert mkuu ana ku alert uyo na mie nlikua na waswas kama wako ntawezaje na hali hii nlokua nayo,ma dem vichwa vyao vinawaza vit vingi sana hasa akiona umri wake unaenda..lastly aliamua kuolewa t na mtu mwingneumeongea point afsa,kwenye luv huchomoki kizembe tena mkiwa mmekuwa pamoja for long, mfano mm mwaka wa sita huu,tunagombana na kusameheana, bebi wangu deili ana niambia mfwende nioe hvo hvo. but nikicheki ramani kula yangu tu MUNGU anasaidia.
Mwanangu ,mbungi itakua ngumu kuishi naye bila mishe.ila anapga alerts sana halooo sielewi yani.mkuu hii ndo ilifanya na mi nkakimbiwa,akikuambia muoe ivo ivo hiyo ni alert mkuu ana ku alert uyo na mie nlikua na waswas kama wako ntawezaje na hali hii nlokua nayo,ma dem vichwa vyao vinawaza vit vingi sana hasa akiona umri wake unaenda..lastly aliamua kuolewa t na mtu mwingne
ngumu kweli so masiala,wangu mimi mwishoni aliamua t aolewe ..kaona uyu jamaa kaumbiwa kukosa t awez kutoboaMwanangu ,mbungi itakua ngumu kuishi naye bila mishe.ila anapga alerts sana halooo sielewi yani.
Wakati wa Mungu ni wakati sahihi na ndo wakati wake umefika kwa neema za Mungu anavaa sare.Kama ana maelekezo mazito..chomboni uhakika
UHakika na kupiganisha pia kunasaidiaWakati wa Mungu ni wakati sahihi na ndo wakati wake umefika kwa neema za Mungu anavaa sare.
BWana akiwa upande wetu ni nani aliye juu yetu 🙏🏾🙏🏾Wakati wa Mungu ni wakati sahihi na ndo wakati wake umefika kwa neema za Mungu anavaa sare.
HAKUNABWana akiwa upande wetu ni nani aliye juu yetu [emoji1488][emoji1488]