Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Au mliingia kwa majina .maanake kuna mwanangu alifosi mazingira ya uusaili ilihali hakuitwa usaili .cjui alifanikiw kweli uyo mwamba
 
Wakuu UT ilikua pepa technical
Defn
passport
requirements if u want travel abroad
bonified citizen
benefits of immigration to Economy of tz
african blocks that Tanzania is the member?
andika wimbo wa taifa
multiple choice
matching items haloo, wimbo wataifa nime robu robu kinoma wakuu.

pepa Ya Bachelor holder na Six, form four wamepiga pepa yao ilikua simpo kinyama,kidogo nilukie yao wazee.
Simple sana hakuna swali gumu sema Kwa vijana wa TikTok sijui
 
Ndio tabia ya mtihan ulivyo. Ukisha toka tu njee unakuwa nyanya. Sii unaona jamaa kuna sehemu hakufanya vizuri kuandika wimbo wa taifa unadhani kwamba alikuwa haufahamu
Acheni kujidanganya, huo mtihani ni rahisi na watu wataufumua. We kama umekuwa mgumu kwako usidhani utakuwa hivyo kwa kila mtu.
Huyo jamaa lazima atoboe maana siyo kashindwa bali atakuwa alisahau kidogo.
 
Nawatakia kila la kheri wote wapambanaji wenzangu, PDF ikitoka naimani wengi mtawemo kwenda kozi ya ajira akiwemo mfwende
 
MUNGU tutoe jalalani,benchi la mtaa la moto balaa, nikisoma na comments za mwnangu monster naona kabisa bongo imekua hell kwa vijana. Death has gotta easy coz life is hard- 50 cent song
Mkuu unayopitia wewe me pia napitia life gumu pia suala la mahusiano nalo changamoto mpenz adi dk hii sijamwambia kma nimekula ndoige maana anahuruma sana anaweza toa machozi mana maisha yangu yanamgusa moja kwa moja yeye kutwa aniombea mungu .ila tutafika salama hii Safari ya mafaniko,nakutakia kila la kheri champion,utaondoka safari hii
 
Back
Top Bottom