Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hata wenye maelekezo wana vigezo vyote hakuna waliopitishwa kimagumashi hivyo
Ni kweli lazma uwe na vigezo vingi kidogo hata kama huna vyote hii inakusaidia kuzama kirahisi hata kama una maelekezo..
hata wasio na vigezo vingi wenye maelekezo wanazama pia maana Dystonia7 ashawah tueleza kuna watu huwa wanakuja katikati ya kozi
 
Ina maana JW hawapo?[emoji3][emoji3]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ukiwa uraiani unaweza fikiri polisi hawaendi kwenye mission za nje. Ila ukifika kule utajua na utafundishwa kuwa PT wanahusika kulinda amani na mission nyingi tu za kimataifa. Kuna some utafundishwa kabisa la kuhusu Peace Keeping.
 
Ukiwa uraiani unaweza fikiri polisi hawaendi kwenye mission za nje. Ila ukifika kule utajua na utafundishwa kuwa PT wanahusika kulinda amani na mission nyingi tu za kimataifa. Kuna some utafundishwa kabisa la kuhusu Peace Keeping.
Anavyoenda police anaenda kama police force na sio military force kaka, hata last week police wametoka kwenda...usije uka contradict majukumu ya tpdf na police force Tanzania hata hayafanani kaka.....

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Hajafananisha majukumu ila wote wanashiriki ulinzi wa amani.


FPU hawa ni polisi waliofundishwa combat kwahiyo wakiwa huko kazi zao hazitofautiani sana na zile za jeshi

IP(Individual/international police)hawa kazi zao huko mission ni za kawaida kama zile wafanyazo polisi wavaa kaki wakati wa amani.

NB:
IP sijamaanisha kuwa ni polisi asiye na mipaka 'Interpol'.
 
Sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…