Tangazo la ajira la tar 30 Mei liliweka wazi ni vijana 1241 linaajiri, kwahiyo hili la sasa ni katika kuongezea idadi ya awali hivyo naamin ni asilimia chache ya watakaoajiriwa na ndio maana halijawa wazi kwenye idadi maalumWakuu hv MT ndo haijajulikana kuwa ni nafasi ngapi wametoa
Aaaah kumbeTangazo la ajira la tar 30 Mei liliweka wazi ni vijana 1241 linaajiri, kwahiyo hili la sasa ni katika kuongezea idadi ya awali hivyo naamin ni asilimia chache ya watakaoajiriwa na ndio maana halijawa wazi kwenye idadi maalum
Nome mzeeNitakata tamaa nikiwa kaburini
Pengine wnaweza chukua wachacheHawajaverify
😂😂😂 pitia na maeneo ya mbulu au babati kule...sura nzur plus shape hiloMakamanda nipo unguja muda huu,,,
Ushauri kwa vijana.
Kabla haujaoa jaribu kuzunguka kipande hiki utanishukuru though maflat screen ila wapenda sura nzuri kama mimi panatufaa
Usisahau singida😂😂😂 pitia na maeneo ya mbulu au babati kule...sura nzur plus shape hilo
Kabisa ....kuna ile singida inayopakana na Arusha..specie za pale ni kama za kiethiopia...kali kinomaUsisahau singida
Ni kali mno halfu zipo directly proportional na pesa..yan usipokua na dini ya kweli utawachakata sana ukienda pande zile na kibundaKabisa ....kuna ile singida inayopakana na Arusha..specie za pale ni kama za kiethiopia...kali kinoma
Watu wamemaliza interview jana tu broNaskia pdf la PT leo usiku
hahahaa dahNaskia pdf la PT leo usiku
[emoji3][emoji3]yaan tumemaliza interview Jana alaf majibu yawe leo...bado sana wiki tatu mbeleniNaskia pdf la PT leo usiku
Kozi haina Cha maandalizi Wala nini ndugu zangu kikubwa kwenye kozi ni kufungua moyo tu yaan unapaswa kujitwist kiasaikolojia kozi inabidi ukubaliane kukumbana na kila aina ya changamoto vikwazo mbalimbali km njaa, shurba, kero kutopata muda wa kuoumzika vya kutosha n.k isipokuwa ni kutokuloose focus paka ile wanasemaga " Mungu nisaidie" bas ila kwa Sasa kunywa maji mengi hata ukijiandaa vipi km hujafungua moyo Cha kufia nn lazima mzee..MAMBO YA KUZINGATIA WAKATI TUNASIKILIZIA POST ZA POLISI NA UHAMIAJI [emoji116]
1. Kunywa Maji ya kutosha, usipende vitu vya sukari (Soda/Juice) ikibidi ufanye dilution kwa ajili ya kupunguza BLOOD PRESSURE.
2. Fanya mazoezi ya kukimbia kwa ajili ya Stamina za miguuni ili uwe sawa.
3. Fanya mazoezi ya Mikono kwa ajili ya kujiandaa na PUSHUP, ili kuongeza nguvu za mikononi.
ALL THE BEST Comrades.
Tuwe makini Sana...kwahyo nafasi zao zimepigwa azwea wakapambane kwengine so sadHabari mbaya Sana,mungu atulinde na pia tujilinde wananguView attachment 2506526
Hao ni mujibu wa sheria na hiyo idadi ni kwa miaka kama mi 3 mfululizo wakajumlisha but all in all vijana umakini unahitajika sana kwenye hii issue gonjwa linazima ndoto kabisaTuwe makini Sana...kwahyo nafasi zao zimepigwa azwea wakapambane kwengine so sad
yaan tumemaliza interview Jana alaf majibu yawe leo...bado sana wiki tatu mbeleni
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mlikuwa wengi sana mkuu[emoji3][emoji3]yaan tumemaliza interview Jana alaf majibu yawe leo...bado sana wiki tatu mbeleni
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wengi hasa account,maana walikuwa diploma na degree faculty 3,accounting,baking & finance na banking Yani ilikuwa vurugu tuMlikuwa wengi sana mkuu