Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Waliofanya usaili polisi mkoa wa dsm form 4 hivi mlikua wangapi ngaz ya mkoa??
 
Wakuu hv MT ndo haijajulikana kuwa ni nafasi ngapi wametoa
Tangazo la ajira la tar 30 Mei liliweka wazi ni vijana 1241 linaajiri, kwahiyo hili la sasa ni katika kuongezea idadi ya awali hivyo naamin ni asilimia chache ya watakaoajiriwa na ndio maana halijawa wazi kwenye idadi maalum
 
Tangazo la ajira la tar 30 Mei liliweka wazi ni vijana 1241 linaajiri, kwahiyo hili la sasa ni katika kuongezea idadi ya awali hivyo naamin ni asilimia chache ya watakaoajiriwa na ndio maana halijawa wazi kwenye idadi maalum
Aaaah kumbe
 
Makamanda nipo unguja muda huu,,,

Ushauri kwa vijana.

Kabla haujaoa jaribu kuzunguka kipande hiki utanishukuru though maflat screen ila wapenda sura nzuri kama mimi panatufaa
😂😂😂 pitia na maeneo ya mbulu au babati kule...sura nzur plus shape hilo
 
Kabisa ....kuna ile singida inayopakana na Arusha..specie za pale ni kama za kiethiopia...kali kinoma
Ni kali mno halfu zipo directly proportional na pesa..yan usipokua na dini ya kweli utawachakata sana ukienda pande zile na kibunda
 
Habari mbaya Sana,mungu atulinde na pia tujilinde wanangu
IMG_20230204_231427.jpg
 
MAMBO YA KUZINGATIA WAKATI TUNASIKILIZIA POST ZA POLISI NA UHAMIAJI [emoji116]

1. Kunywa Maji ya kutosha, usipende vitu vya sukari (Soda/Juice) ikibidi ufanye dilution kwa ajili ya kupunguza BLOOD PRESSURE.

2. Fanya mazoezi ya kukimbia kwa ajili ya Stamina za miguuni ili uwe sawa.

3. Fanya mazoezi ya Mikono kwa ajili ya kujiandaa na PUSHUP, ili kuongeza nguvu za mikononi.


ALL THE BEST Comrades.
Kozi haina Cha maandalizi Wala nini ndugu zangu kikubwa kwenye kozi ni kufungua moyo tu yaan unapaswa kujitwist kiasaikolojia kozi inabidi ukubaliane kukumbana na kila aina ya changamoto vikwazo mbalimbali km njaa, shurba, kero kutopata muda wa kuoumzika vya kutosha n.k isipokuwa ni kutokuloose focus paka ile wanasemaga " Mungu nisaidie" bas ila kwa Sasa kunywa maji mengi hata ukijiandaa vipi km hujafungua moyo Cha kufia nn lazima mzee..
 
Hivi form 4 mliofanya usaili dsm....ngaz ya mkoa mlifanya kama watu wangapi...?
 
Back
Top Bottom