Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

watu wenye fani za ICT,mechanical,drivers majina hya kufika hata 100 mkuu coz waliitwa pale mbele ili wakafanye usahili wa vitendo ut-uzunguni. mi nahis mchakato uko slow tu safari hii
Naam si karibu na Waswanu
 
Kwamba hizo sahili mbali mbali zinakua gelesha tu ..yaani chengesha bwege
 
Yani mimi nilivyokuwa na gundu naweza kwenda usaili wanaotakiwa watu kumi tukawa tupo kumi na Moja huyo mmoja atakayebaki Anaweza akawa ni Mimi [emoji2960]
Dah yaan mkuu umeandika kwa lugha rahisi lakin nimeonja maumivu yako, Tuwe na Imani kuwa maisha yetu tayari yalishapangwa na Mungu hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya... Ni Mungu anaruhusu ili kusudi lake litimie....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…