Mianzin Arusha
Senior Member
- Mar 25, 2020
- 132
- 139
Bado majina hayajarudiWanaojua watupe Lonja wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado majina hayajarudiWanaojua watupe Lonja wakuu
Mchawi maelekezo unaweza kwenda 29 Kama Kuna maelekezo Mambo kitongaYaan anaenda J K T kwa umri huo au sijaelewa vzr mkuu....na kama anaenda kwa umri huo pengine yuko na elimu ya juu au ana maelekezo maalumu yaan uhakika wa nafasi
Dawa kutia mimbaHata ingekuw miezi 9 ile ile bado ni mingi..so kama una mtu wako kitaa usimuhesabie kama mambo yatabak kuwa kama mwanzo[emoji23][emoji23][emoji23]
Uko sahihi mkuuu sio za kuendekeza hiz chupiNakumbuka wakat nimepata nafasi ya kwenda course kutoka kitaa, manzi niliyekuw nae alikuw against kabisa na mm na aliniona ni mbinafsi kuwa namuacha kitaa naingia chomboni. Wakati mwingine inabdi ufanye maamuzi kwa kuangalia maisha yako kwanza badala ya kuwaza "mbususu"...haya mambo yapo tu. Cha msingi build urself kwanza...mbususu utazichakata sana tu. Ingawa binafsi now hazinisumbui kabisa nakomaa na kujijenga kwanza maana hawa viumbe nao ukiwaendekeza unaweza usifikie ile level unayoitaka "usipokuwa makini"
Inawezekana .Maana hata watu wa education wanatakiwa piaWakuu hivi unaweza ukawa na bachelor ya education ya geography English ila kuna mbanga imekusimamia ukapita ukifika ccp moshi hautarejeshwa maan naskia kuna uhakik wa vyeti ukifika huko
Mwaka Huu education wamechukua only wenye Bachelor of education in curriculum.Inawezekana .Maana hata watu wa education wanatakiwa pia
Inawezekana ila sasa sijajua ukimaliza kozi kwamfano unataka kwenda kuripoti kwenye Kikosi utaenda Kikosi Gani?Wakuu hivi unaweza ukawa na bachelor ya education ya geography English ila kuna mbanga imekusimamia ukapita ukifika ccp moshi hautarejeshwa maan naskia kuna uhakik wa vyeti ukifika huko
Sw mkuu ila watu c wapo ambao hupita kwa Course ya ualim ukitoa hio ya curriculum???Mwaka Huu education wamechukua only wenye Bachelor of education in curriculum.
Kama upo kwenye PDF Haina shida unapita tu pale CCP, maana mpka upo kwenye PDF it means una requirements zao.
Inawezekana ila sasa sijajua ukimaliza kozi kwamfano unataka kwenda kuripoti kwenye Kikosi utaenda Kikosi Gani?
Tangia mwaka 2019 sizani kama polisi wamechukua watu wenye taaluma ya education waliospecilize kwenye masomo ya art's au science.Sw mkuu ila watu c wapo ambao hupita kwa Course ya ualim ukitoa hio ya curriculum???
Duuh wakuu mbona mtihn hata uwe na mbanga hutaweza kupita ila mbon uhamiaj walichukua degree ya ualim 2019 hata mwak Jan kuna mtu namjua kamaliza degree ya. Kisw history na kaenda uhamiaj kwa hilo hta ukiwa na mbanga wakuu huwez kupitaTangia mwaka 2019 sizani kama polisi wamechukua watu wenye taaluma ya education waliospecilize kwenye masomo ya art's au science.
Ukiangalia matangazo Yao ya kazi wanahitaji hizi professionals nyingine ila Kwa education in Physics, geography sijui history or mathematics sijawaiona miaka ya karibuni
Kwa jinsi ninavyoona,ni vyema kurejea na kuangalia ni degree zipi zinachukuliwa uhamiaji na PT,km degree uliyonayo haijatajwa Sana ujue uwezekano ni mdogo km Hana cheti cha jkt kabisa na umri unamruhusu aingie kukitafuta apambene na form 4 magereza na PT huku akiangalia km itawezekana kutumia degree mbeleniKuna mtu Ana hio bachelor ya geograohy English ndo ana mpango wa kwenda jkt kwa hata loose maan dahh hali s shwariii
Kwa miaka miwili niliyofatilia uhamiaji wanachukua mwenye fani(degree) form six Hana fani ndo mana magereza wanachukua 4Form 4 haiwezekan umri umeshapita jee zikija uhamiaj akitumia cha form 6 jee
Ndo mpaka uwe na mbanga Sasa,huna itabidi mtu uwe mpoleShda ni mbanga tu mbon mm uhamiaj kuna mtu namjua mwaka jana alitumia degree ya education na yupo kazin saiv fresh tu mbon