BlessedbyGod
Member
- Jan 13, 2023
- 65
- 140
Polisi kuna mambo mengi ya kujifunza.Duuuuh sasa kwann imekuwa hvyo....watu hawana nidhamu au imekuwaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polisi kuna mambo mengi ya kujifunza.Duuuuh sasa kwann imekuwa hvyo....watu hawana nidhamu au imekuwaje
Ondoa kitu kinaitwa kukata tamaa. Kama una Mbanga tafuta. Lakini pia, maisha sio kazi za majeshi tu. Tega mitego na kwingine pia. Mlango wako utafunguka tu.Kuna wenye lonja za ndanindani uko kaka tujue nini kinaendelea kama tuzidi kutafuta mibanga au tunyooshe mikono juu
Aise kwa muda huu mimi sijampa nafasi kabsa mwanamke,siwez kuwaza et namuachaje..hta ukisema kozi miaka miwili fresh tuDuuuh mbona kitaumana aseee....hapo ndo unaondoka kitaaa unaiacha manzi yako....mpk uje urud wahuni washafanya msosi.....mwaka mzima
Pamoja brother [emoji123]Ondoa kitu kinaitwa kukata tamaa. Kama una Mbanga tafuta. Lakini pia, maisha sio kazi za majeshi tu. Tega mitego na kwingine pia. Mlango wako utafunguka tu.
Chief unapenda sana kuchakata mbususuKaka nazungumza ukweli ujue, hizi mambo hz zitatuua kaka, , , , yaani mwaka mzima daaah sio poa ujue kaka.😆
mfwende ndugu yako ana wivu balaaAise kwa muda huu mimi sijampa nafasi kabsa mwanamke,siwez kuwaza et namuachaje..hta ukisema kozi miaka miwili fresh tu
Chief sio kweli nikikuambia naeza toboa miezi hata 4 bila bila mkuuChief unapenda sana kuchakata mbususu
Kweli mkuuPolisi kuna mambo mengi ya kujifunza.
HahhhahahahahhahahaBado hajapitia challenge nyingi atakomaa tu ngoja
Hajafumania badoHahhhahahahahhahaha
Vip kuhusu uhamiaji mkuu ni muda gani?Polisi kuna mambo mengi ya kujifunza.
Nakumbuka wakat nimepata nafasi ya kwenda course kutoka kitaa, manzi niliyekuw nae alikuw against kabisa na mm na aliniona ni mbinafsi kuwa namuacha kitaa naingia chomboni. Wakati mwingine inabdi ufanye maamuzi kwa kuangalia maisha yako kwanza badala ya kuwaza "mbususu"...haya mambo yapo tu. Cha msingi build urself kwanza...mbususu utazichakata sana tu. Ingawa binafsi now hazinisumbui kabisa nakomaa na kujijenga kwanza maana hawa viumbe nao ukiwaendekeza unaweza usifikie ile level unayoitaka "usipokuwa makini"Aise kwa muda huu mimi sijampa nafasi kabsa mwanamke,siwez kuwaza et namuachaje..hta ukisema kozi miaka miwili fresh tu
Huku miezi 6 tuVip kuhusu uhamiaji mkuu ni muda gani?
Tafta mmoja mwenye akili na mwenye imani ya kweli ya dini halafu utulie hapoNakumbuka wakat nimepata nafasi ya kwenda course kutoka kitaa, manzi niliyekuw nae alikuw against kabisa na mm na aliniona ni mbinafsi kuwa namuacha kitaa naingia chomboni. Wakati mwingine inabdi ufanye maamuzi kwa kuangalia maisha yako kwanza badala ya kuwaza "mbususu"...haya mambo yapo tu. Cha msingi build urself kwanza...mbususu utazichakata sana tu. Ingawa binafsi now hazinisumbui kabisa nakomaa na kujijenga kwanza maana hawa viumbe nao ukiwaendekeza unaweza usifikie ile level unayoitaka "usipokuwa makini"
Tutatafuta tu ila kwa sasa haijawa priority kabisa hawa viumbe. Wakat ukifika InshaAllah tutafanya hivyoTafta mmoja mwenye akili na mwenye imani ya kweli ya dini halafu utulie hapo
Hapa nazungumzia PT wakuuWakuu niaje kwema.....hv kuna watu walipigia usaili kibaha pwani.....na kama wapo vp nyomi la watu lilikuwaje
Inawezekana pakatosha japo sipajui.