Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Inawezekana pakatosha japo sipajui.
Moshi kuna kambi tatu huwa zinatumika. Hawawezi kukaa wote Ccp mjini. Ccp mjini ambapo ni pakubwa watakaa hawa wa basic recruit course...hao coplo na nyota wataenda kambi zingine za porini. Zipo mbili . Hata intake iliyopita wakat course ya basic recruit inaanza...kuna Coplo course na course za nyota zilikuw zinaendlea kwa kambi za porini na wakagraduate huko huko porini. Huku mjini madogo ndio wakawa wanaendelea na course zao. Lakini kumbukeni pia kuna kambi zingine za polisi. Kidatu ipo na Zanzibar pia ipo.
 
Nimetumiwa naona si vibaya kushare nanyi ila sijui kama ni kweli au lah
Screenshot_20230209-161012.jpg
 
Ninavojua mm uhamiaj ndo walikuja 2019 ila polis nimesahau
zilitoka 2018 nafasi 2000 ,Hayati magufuli alivoona wameenda wengi wasio pitia jkt akawarudisha wote wasio na sifa wakabaki 700 ,akawaambia kumbe mlikua hamna uhitaji basi wakapiga kozi kama walivyo 700[emoji23] Halafu tangazo lilisema ni op kikwete na op magufuri tuu
 
Sw mkuu tatzo majeshi hayatabiriki Usikute wakitoka 2023 mpka 2026 huko kuja tena 😂
 
zilitoka 2018 nafasi 2000 ,Hayati magufuli alivoona wameenda wengi wasio pitia jkt akawarudisha wote wasio na sifa wakabaki 700 ,akawaambia kumbe mlikua hamna uhitaji basi wakapiga kozi kama walivyo 700[emoji23] Halafu tangazo lilisema ni op kikwete na op magufuri tuu
Huu mwaka nilifanyiwa mchakato wa kuingia TPDF, nikiwa hatua za mwisho jamaa (Magufuli) akakataa watu kutokea uraini kuingia chomboni hata kama unacheti cha jkt. Sharti utokee kambini. Na kuna watu walirudishwa nyumbani wakiwa tayari chomboni. Hatari mno
 
Daaaah ilikuwa hatareee sana mkuu ilikuwa full kufarakana
 
Huu mwaka nilifanyiwa mchakato wa kuingia TPDF, nikiwa hatua za mwisho jamaa (Magufuli) akakataa watu kutokea uraini kuingia chomboni hata kama unacheti cha jkt. Sharti utokee kambini. Na kuna watu walirudishwa nyumbani wakiwa tayari chomboni. Hatari mno
Uncle alikuwa anataka walio makambinibtuu hasa walio jenga,Japo wenye mibanga mizito waliingia
 
Mkuu watu wengine waliwezaje kuingia maana kuna watu kama 12 walitolewa wakiwa wameingizwa na Naibu Waziri wa Wizara fulani. Mimi pia watu waliyonisimamia si haba walikuwa na vyeo huko jeshini lakini ngoma ilibuma.
 
Back
Top Bottom